Lissu: Serikali ya Magufuli imejaa wapigaji

Lissu: Serikali ya Magufuli imejaa wapigaji

Lissu kila akimsikia Magufuli anaonge lazima ajibu. Mbowe anaangalia sinema tu lakini anajua wapi korongo lilipo.
 
Magufuli hawezi kusafiri nje kisa anaogopa wapigaji?

What the flip is that?

Ndo Magu alivyowahi kusema au ni ubunifu wa fikra za Lissu tu?

Kuhusu Bi. Shonza....dada mshari sana huyo.

Halafu sijui anajiamini nini tu maana mmoja wa wale wabunge wa CHADEMA [simjui jijna] ni bonge la jimama.

Likimlalia Bi. Shonza linam-suffocate kabisa😀

Kasikilize hotuba yake alioitoa uko Mwanza. Sio kila kitu unabisha .
 
Kama Samia anafanya vizuri na anamuamini anaogopa nini kumuacha Ili aendeleze kazi ya kupambana na wapiga dili?.
 
amevunja ukimya akisema kwamba anataka kwanza kumaliza wapiga dili ambao akiondoka wataweza kufanya mambo ya ajabu.
Ni vigumu kumuua nyoka aliyeingia ndani ya kibuyu bila kuvunja kibuyu kama ilivyo vigumu kuwamaliza wapiga dili bila kuiua CCM kwanza.
 
Alivyoenda Ethiopia kwahiyo hakuogopa wapigaji ?
Huyu jamaa hana akili kabisa....hana kumbukumbu kabisa...kazi yake kukariri km za barabara na idadi ya samaki bahari ya Hindi ndo anachoweza....MAMBO YA NCHI HAPANA NI MVUGAJI NA MKURUPUKAJI MKUU WA NCHI
 
Alisema jana kuwa ananyoosha nchi kwanza, kwa mfumo wa nchi yetu, Rais ndiye kila kitu, hivo Mh. Rais anajua kabisa akiondoka tu hali inaweza kubadilika huku nyumbani.

Kikwete aliwaachia uhuru wa kutosha mawaziri na watendaji wake serikalini yeye akawa anazurura tu nje ya nchi, yaliyotokea kila mtu anayajua
Daaah!Aisee!
 
One Man Show.

Asipokuwepo yeye kila kitu kitaharibika.

Inaonesha jinsi gani akiondoka kwenye urais kutakuwa na gombania goli.
 
Ila wabongo mnakera sana kuzungumzia kila kitu, hata kama hamkijui vizuri. Why vitu vingine visiachwe vikapita tu.

- Kila kitu neno kwa neno, nukta kwa nukta, kauli kwa kauli - Kila kinachokatiza mbele lazima watupie komenti. Tumebarikiwa sana kwa hili asee na laiti kama kungekuwa na mashindano ya kupiga domo, tusingekuwa na MPINZANI Duniani
Na wewe hujalazimishwa kuchangia, kama imekukera ni bora ukae kimya uumie kimoyo moyo.

Ukweli lazima usemwe tu.
 
Mwenye ule wimbo wa bongofleva unaoitwa KINGEREZA naomba aniwekee hapa
 
Back
Top Bottom