Lissu omba msamaha yaishe!

Kuwa mstaarabu omba msamaha yesheee. Angalau upate wabunge wawili upewe na ruzuku. Upunguze njaa maana hizi kelele sijui reforms ni njaa tu
Ww ndio mwenye njaa maana mara nyingi maskini ndio wanaweza kuishi kwa kulamba wengine matako.
 

unapaswa ulale chini ulambishwe bakora za kutosha! shit
 

Yaani Lissu ndio aombe msamaha? ana kosa gani seriously?
 
Konyagi siyo uji dogo,

Amka dogo, wa kuomba radhi ni mwenyekiti wako wa chama chako
 
SSH ndiye anatakiwa amuombe msamaha Lissu.
 
Mchepuko wa mbogamboga fc huko Dodoma
 
Hii ndiyo sababu wewe si Lissu na Lissu si wewe.
 


We kweli kichwani kumepwaya.

Lisu angekuwa na njaa, wakati wa Magufuli si angeikubali ofa aliyokuwa amepewa?

Lisu anaweza kuwa maskini wa pesa lakini ni tajiri mkubwa wa nafsi na akili. Ninyi mnaohangaika na huu ushauri wa kijinga, sababu kubwa ni kwamba mmekuwa maskini wa akili, nafsi, na pesa.
 
Umeandika ujingaujinga sana.Mmefunga shule?
 
Kama uko miongoni mwa G 55 na unataka ubunge au udiwani,wahi mapema kwenye vyama vingine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…