Lissu: Nitakutana na viongozi wa Serikali na wabunge wa Marekani

anakwenda kutafuta support, lakini anajisumbua sana
Kiakiliccm ndivyo ilivyo lakini kuna mengi kinyume na hivyo...
Tatizo letu kubwa ni ukosefu wa kumbukumbu... mfano wa Kambona unatutosha... mfano wa utaifishaji na "sajili jumba!!" Mfano wa hotuba ya Lake Tanganyika 80s na matokeo ya mwisho.... aaah acheni tujenge nchi
 
Ataishia kunywa kahawa na kupiga picha
Hizo ziara alifanya maalim sefu mpaka akaamua kuhutubia viti vitupu vya UN!
Huu ndio wakati wa lissu kupiga pesa za mabeberu kwa nia ovu ya kuleta machafuko
 
Mambo yanaanza hivi, ila nina wasiwasi Lissu siku moja ataipeleka hii nchi pasipo,
Alishaonja kifo kutuingiza barabarani huyu hachelewi ,mbowe ashike uenyekiti tena hadi hasira zahuyu faru aliyejeruhiwa zipungue ,mana mikakati yake simchezo
 
Sasa yuko huru maana hata ubunge wamemvua hivyo hana sababu ya kurudi nyumbani haraka hata baada ya kupona.

Wameendelea kumpiga chura teke!!
Jee unakumbuka katika mkutano wake na watanzania safari ya kwanza alipokwenda USA, kuna mtanzania alimualika Atlanta, Lissu akaahidi kumtembelea. Jee huyu mtanzania ndiye kiongozi huku Atlanta.

Na tusisahau kuwa kula muAmerica anayelipa kodi na kupiga kura ana haki ya kumuomba Congress ama senator wake kukutana na wageni wake na wakapata photo opportunity.

Lissu anajitahidi sana
 
Lissu Ndiye Rais Ajaye Wa Tanzania Mtake Msitake' Wakala Wa Mabeberu Ni Ccm Na Magufuli Waliouza Nyumba Za Umma Zaidi Ya 8000, Wakauza Madini Miaka Nenda Miaka Rudi, Wakauza Gesi, Wakaifilisi Tanesco Kupitia IPTL, RICHMOND na DOWANS.

Eti Unapambana Na Ufisadi Unawachekea Kipara Na Jk Unafiki Mtupu.

Kuna Siku Tutawashugulikia.
Ndoto
 
Kaandika hivi kupitia twitter:

Jana nimeanza ziara nchini Marekani, itakayonichukua hadi tarehe 13 ya mwezi huu. Niko Atlanta, Georgia, hadi tarehe 6; kati ya tarehe 7 na 9 nitakuwa Washington DC, na kati ya tarehe 10 na 12 nitakuwa Houston, Texas.

Nitakutana na viongozi wa Serikali na wabunge wa Marekani; taasisi za kimataifa na sekta binafsi; vyombo vya habari; pamoja na Watanzania waishio Marekani.

Nitarudi Ulaya tarehe 14 na kati ya tarehe 15 na 20 nitakuwa na ziara ya aina hiyo hiyo Ujerumani. Kwa hiyo, mapambano yanaendelea.
Hivi huyu anapambana na nani, watanzania?!
 
..siyo kweli kwamba both house and senate wanashughulikia suala la Trump.

..walioko busy na suala la Trump ni kamati inayochunguza kashfa hiyo.

..kama TL atapewa attention ndogo ni kwasababu Tz siyo muhimu kwa siasa za nje na maslahi ya Marekani, na siyo kwasababu ya kashfa ya Trump.
So?! Do you want to turn our nation into another Libya?!
 
US both houses of Senate & Congress currently wako busy na issue ya Trump impeachment, Lissu atapewa little attention, those who are following current political news in US watanielewa.. Trump impeachment process ndio imeshika kasi huko. Anyway acha aende ni haki yake na huenda atapata misaada yake binafsi
Unaenda hivi hivi bila appointment labda Afrika kwa dunia ya kwanza sio rahisi halafu hayo mashitaka ya Trump hayajadiliwi na wabunge wote bado kamati ya usalama bado muda wa kupigiwa kura na bunge na seneti kwa hiyo maisha mengine ya kiuongozi bado yanaendelea.
 
So?! Do you want to turn our nation into another Libya?!

..atakayeigeuza nchi kuwa Libya ni CCM na serikali zake.

..ila nchi yoyote iwe salama ni lazima wakati wote kuwe na uwezekano wa vyama kupokezana madaraka kwa njia za amani kupitia sanduku la kura.

..Tukiwa na chama zaidi ya kimoja kinachoweza kushika madaraka ya nchi, na chaguzi zetu zikiwa huru na za haki, wananchi hawalazimika kufanya vurugu ili kubadilisha serikali / watawala.
 
..siyo kweli kwamba both house and senate wanashughulikia suala la Trump.

..walioko busy na suala la Trump ni kamati inayochunguza kashfa hiyo.

..kama TL atapewa attention ndogo ni kwasababu Tz siyo muhimu kwa siasa za nje na maslahi ya Marekani, na siyo kwasababu ya kashfa ya Trump.
Lissu angepata mafanikio zaidi na ya haraka kama ange'focus' na baadhi ya watu na makundi ya watu wenye 'interest' na Tanzania na akafanya kazi na watu hao. Kazi ya kwanza ingekuwa kuwatambua watu hao.

Kwa mfano kuna mabalozi waliowahi kuwa Tanzania na wanaifahamu vyema nchi. Hawa ndio wangeweza kufanya mipango ya karibu zaidi na viongozi (baadhi ya Congressmen) waliomo katika kamati, hasa zile zinazoshughulikia maswala ya Afrika.

Itakuwa ni kazi ngumu sana kuwafikia viongozi wa kisiasa kwa haraka moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom