Lissu: Nitakutana na viongozi wa Serikali na wabunge wa Marekani

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Kaandika hivi kupitia twitter:

Jana nimeanza ziara nchini Marekani, itakayonichukua hadi tarehe 13 ya mwezi huu. Niko Atlanta, Georgia, hadi tarehe 6; kati ya tarehe 7 na 9 nitakuwa Washington DC, na kati ya tarehe 10 na 12 nitakuwa Houston, Texas.

Nitakutana na viongozi wa Serikali na wabunge wa Marekani; taasisi za kimataifa na sekta binafsi; vyombo vya habari; pamoja na Watanzania waishio Marekani.

Nitarudi Ulaya tarehe 14 na kati ya tarehe 15 na 20 nitakuwa na ziara ya aina hiyo hiyo Ujerumani. Kwa hiyo, mapambano yanaendelea.
 
Lissu Ndiye Rais Ajaye Wa Tanzania Mtake Msitake' Wakala Wa Mabeberu Ni Ccm Na Magufuli Waliouza Nyumba Za Umma Zaidi Ya 8000, Wakauza Madini Miaka Nenda Miaka Rudi, Wakauza Gesi, Wakaifilisi Tanesco Kupitia IPTL, RICHMOND na DOWANS.

Eti Unapambana Na Ufisadi Unawachekea Kipara Na Jk Unafiki Mtupu.

Kuna Siku Tutawashugulikia.
 
Ni kweli anapambana na ufisadi, hapo naomba nimtetee. Ina maana watu hawaoni siku hizi CAG haruhusiwi kukagua baadhi ya maeneo, mfano, manunuzi za ndege, Madini, ATCL etc..kuna uzalendo mkubwa zaidi ya huu?
 
Lisu kwa sasa namuona Kama mtoto alieshindikana kwao harafu akatoroka nakuanza kufanya Mambo ya ajabu ili wazazi wake wakisikia wamuhurumie wamwambie rudi nyumbani. Na Kama Kuna mtu ashapoteza uelekeo wa siasa Ni huyu mtu anaejiita lisu.. pumba kabisaa
 
Basi wewe baba yako hajapoteza uelekeo! Hongera!
 
US both houses of Senate & Congress currently wako busy na issue ya Trump impeachment, Lissu atapewa little attention, those who are following current political news in US watanielewa.. Trump impeachment process ndio imeshika kasi huko. Anyway acha aende ni haki yake na huenda atapata misaada yake binafsi
When one lose empathy and cant sympathise a primate is evolved. Nahisi umenielewa
 
Lisu kwa sasa namuona Kama mtoto alieshindikana kwao harafu akatoroka nakuanza kufanya Mambo ya ajabu ili wazazi wake wakisikia wamuhurumie wamwambie rudi nyumbani. Na Kama Kuna mtu ashapoteza uelekeo wa siasa Ni huyu mtu anaejiita lisu.. pumba kabisaa
Mtoto aliyeshindikana baada ya kumpiga risasi.we kweli zezeta.hivi kwanini mnalazimisha watu wawaabudu nyiye maiti watarajiwa.
 
Lisu kwa sasa namuona Kama mtoto alieshindikana kwao harafu akatoroka nakuanza kufanya Mambo ya ajabu ili wazazi wake wakisikia wamuhurumie wamwambie rudi nyumbani. Na Kama Kuna mtu ashapoteza uelekeo wa siasa Ni huyu mtu anaejiita lisu.. pumba kabisaa
Unamuona hivyo kwa sababu ya akili yako ni ya kitoto au kibwege kabisa. Sio tofauti na hivyo.
 
US both houses of Senate & Congress currently wako busy na issue ya Trump impeachment, Lissu atapewa little attention, those who are following current political news in US watanielewa.. Trump impeachment process ndio imeshika kasi huko. Anyway acha aende ni haki yake na huenda atapata misaada yake binafsi

..siyo kweli kwamba both house and senate wanashughulikia suala la Trump.

..walioko busy na suala la Trump ni kamati inayochunguza kashfa hiyo.

..kama TL atapewa attention ndogo ni kwasababu Tz siyo muhimu kwa siasa za nje na maslahi ya Marekani, na siyo kwasababu ya kashfa ya Trump.
 
Ni sababu kuu na yenye uzito ndio hawajaipata ila endapo kama wana masilahi hapa Tz yenye manufaa kwao, Jiwe akiyaingilia tu itakuwa mbaya.
How? kama Marekani wangelikuwa na deep rooted interests hapa, basi Jiwe siku zingelikuwa si zake, lkn hawana cha kupata hapa kuingia kwenye mapambano ....
 
Back
Top Bottom