Lissu: Nitakutana na viongozi wa Serikali na wabunge wa Marekani

Anadhani Marekani ni Taifa la kitoto hao watu wana akili wanaipenda nchi yao tena sana unapopeleka hoja za kuinanga nchi yako wanakuona poyoyo muulize Snowden Leo, watu hawa unaowapelekea upumbavu hawana mzaha kwenye maisha yao hawana mzaha kabisa kufika walipofika waliteseka walihangaika ss ww unatafuta cheo au pesa kwa mteremko hakuna kitu kama hicho Mafanikio yanahangaikiwa siyo kitu rahisi
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Me nataka tu kujua anaenda kama nani? Halafu eti anaiita ziara, really?

Huyu jamaa aletwe mirembe
 
unahangaika na kichaa huyo achana naye utaumiza kichwa bure yaani ni kishaa 100%
 
Anadhani Marekani ni Taifa la kitoto hao watu wana akili wanaipenda nchi yao tena sana unapopeleka hoja za kuinanga nchi yako wanakuona poyoyo muulize Snowden Leo, watu hawa unaowapelekea upumbavu hawana mzaha kwenye maisha yao hawana mzaha kabisa kufika walipofika waliteseka walihangaika ss ww unatafuta cheo au pesa kwa mteremko hakuna kitu kama hicho Mafanikio yanahangaikiwa siyo kitu rahisi
Aliye elewa TAFADHARI ANI ELEWESHE....
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Me nataka tu kujua anaenda kama nani? Halafu eti anaiita ziara, really?

Huyu jamaa aletwe mirembe
vichaa wako mitaani walioko milembe wazima kabisa wamlete milembe atibiwe
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Me nataka tu kujua anaenda kama nani? Halafu eti anaiita ziara, really?

Huyu jamaa aletwe mirembe
Hahahaha anaenda Kama kibaraka was wazungu tuu kwani yeye Nani..ndoto zake zoote juu ya Taifa letu zimekufa kibudu. Ooh mara tutashtakiwa, mara tutakosa misaada,. Shenzzz taipu.si .utapeli mkubwa wa kimataifa Huo
 
anamuelezea kichaa mmoja yuko ubeligiji anajifanya anaumwa halafu huyohuyo anasema anataka kuona na na trumph
Hahahaha dunia imeshampa funzo la nguvu. Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu, alijue Hilo..huyu jamaa alivyokuwa wa ajabu eti anatetea ushoga na mashoga pia..anataka kugeuza vijana wetu wawe mabinti...khaaaaaaaaa
 
Hahahaha anaenda Kama kibaraka was wazungu tuu kwani yeye Nani..ndoto zake zoote juu ya Taifa letu zimekufa kibudu. Ooh mara tutashtakiwa, mara tutakosa misaada,. Shenzzz taipu.si .utapeli mkubwa wa kimataifa Huo
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Dah, we jamaa mbona unamnanga mkombozi wetu hivi? Tutapelekwa MIGA na nchi itapigwa mnada time yoyote kwanza amewaambia mabeberu wasitupe msaada kabisa
 
Usalama wa taifa washakubali???
Lissu Ndiye Rais Ajaye Wa Tanzania Mtake Msitake' Wakala Wa Mabeberu Ni Ccm Na Magufuli Waliouza Nyumba Za Umma Zaidi Ya 8000, Wakauza Madini Miaka Nenda Miaka Rudi, Wakauza Gesi, Wakaifilisi Tanesco Kupitia IPTL, RICHMOND na DOWANS.

Eti Unapambana Na Ufisadi Unawachekea Kipara Na Jk Unafiki Mtupu.

Kuna Siku Tutawashugulikia.
 
Back
Top Bottom