Lissu: Nitakutana na viongozi wa Serikali na wabunge wa Marekani

Hivi unaelewa ulichokiandika ewe mbuzi katoliki?

Kawaulize Lybya na sudani kusini wakuelezee madhara ya hiyo haja kubwa mnayoiombea itokee
Bora tu ili tuheshimiane maana kuna watu wamegeuza hii nchi kama mali yao binafsi kutokana na ulevi wa madaraka.
 
Acha porojo ulituahidi shule iko wapi? ubalozi utaisha atarudi uswazi_ wakati huo Lisu ni presidaa wetu weka akiba ya maneno.
Pole sana. Endelea kumdanganya.kwa taarifa yako Josephine Hayupo sweden. Yeye ni Canadian resident. Wewe endelea kumdanganya Josephine akirudi Swazi ni Kwao.
Pole sana mpumbavu ni mpumbavu
 
Lwamarekani hawawezi kuwasikiliza chadema na Alina Zitto kabwe na lisu Wala kuwatilia maanani kwa kitendo chao cha kupiga Vita biashara zao za kuuza ndege zao za kampuni yao ya Boeing kwa Tanzania .Mmarekani ukishaingia yanga zake kupinga biashara zake hatakuwa na mpango na wewe tena.Wote mnakumbuka walivyopiga Vita bungeni na nje ya bunge kuwa serikali isinunue bombardier na Boeing.

Lisu asitarajie lolote la maana alilikoroga mwenyewe na chadema wake

Mmarekani yuko na Magufuli sababu kuna biashara hawezi kuwa na Lisu muuza sura

Sura ya Lisu haiwaingizii hela kama ndege wanazouza
Bora tu ili tuheshimiane maana kuna watu wamegeuza hii nchi kama mali yao binafsi kutokana na ulevi wa madaraka.
Dah hivi chadema ni alien wa sayari gani yaani Tundu ati lipewe nchi? Mi simsemi vibaya ila akipewa nchi nahama kwa mguu mdogo mdogo
 
Kaandika hivi kupitia twitter:

Jana nimeanza ziara nchini Marekani, itakayonichukua hadi tarehe 13 ya mwezi huu. Niko Atlanta, Georgia, hadi tarehe 6; kati ya tarehe 7 na 9 nitakuwa Washington DC, na kati ya tarehe 10 na 12 nitakuwa Houston, Texas.

Nitakutana na viongozi wa Serikali na wabunge wa Marekani; taasisi za kimataifa na sekta binafsi; vyombo vya habari; pamoja na Watanzania waishio Marekani.

Nitarudi Ulaya tarehe 14 na kati ya tarehe 15 na 20 nitakuwa na ziara ya aina hiyo hiyo Ujerumani. Kwa hiyo, mapambano yanaendelea.

Mimi nahisi ni kichaa. Hivi mtu kama Lissu ambaye sijajua ni Nani hasa, mpaka apewe huo muda na baadhi ya viongozi wa USA. NARUDIA USA, hamuoni kuna tatizo. Au Basi uchama unawafanya mpoteze hata Common Sense kabisa. USA haiwezi kupoteza muda wake kama Hana ajenda yake. Ni siamini hiyo ajenda mi mahaba kwa watanzania. Nawaomba hata kama mahaba ni mia kwa mia lakini kabla ya kuandika vitu vya kijinga hivi, mshirikishe na ubongo. Mambo ya Vyama yasiondoe uwezo wenu wa kufikiri na kujudge. Hata JPM Leo angeitwa itwa huko USA wala sitakimbilia na kufikiria ni sifa. Labda akiitwa mwanasayansi au expert yeyote au Basketballer ndo unaona hapa kweli ni hitaji. Lakini mwanasiasa? amkeni ubwege ni dhambi pia.

na bado mpo watu mnadhani ni kitu positive
 
Madaktari wa Lissu hawako fair kabisa.
Yaani wanampa ruhusa za kusafiri kwenda Marekani tuu.
Ya kuja Bongo hata wiki moja wanamnyima!!
 
Mke wake anatia huruma! Kuolewa na jitu kama hilo. Sasa amekuwa mkimbizi, masikini! Dreva wake naye kawa mkimbizi, kaacha familia yake. Passport zao za Tanzania zimefutwa. Wao si diaspora bali wakimbizi. Wanasubiri CCM itakapotoka madarakani ndipo warudi Tz, kitu ambacho kigumu kutokea labda baada ya karne moja. Pathetic!

Note: Hakuna atakaye televise hiyo mikutano yake. At least kwenye online media za hapa nchini zilizosajiliwa na TCRA. Hivyo ataonekana na machagudoa wa ugaibuni tu! Watu wa maana huko ugaibuni hawatahangaika naye kwani he is nobody but one post traumatic schizophrenia patient who needs phychiatric treatment.
Umenifuraisha saana! Ebu kaagize kinywaji nitalipa!
 
Mimi nahisi ni kichaa. Hivi mtu kama Lissu ambaye sijajua ni Nani hasa, mpaka apewe huo muda na baadhi ya viongozi wa USA. NARUDIA USA, hamuoni kuna tatizo. Au Basi uchama unawafanya mpoteze hata Common Sense kabisa. USA haiwezi kupoteza muda wake kama Hana ajenda yake. Ni siamini hiyo ajenda mi mahaba kwa watanzania. Nawaomba hata kama mahaba ni mia kwa mia lakini kabla ya kuandika vitu vya kijinga hivi, mshirikishe na ubongo. Mambo ya Vyama yasiondoe uwezo wenu wa kufikiri na kujudge. Hata JPM Leo angeitwa itwa huko USA wala sitakimbilia na kufikiria ni sifa. Labda akiitwa mwanasayansi au expert yeyote au Basketballer ndo unaona hapa kweli ni hitaji. Lakini mwanasiasa? amkeni ubwege ni dhambi pia.

na bado mpo watu mnadhani ni kitu positive
Kichaa baba yako
 
Tangu lini Us ikawa na undugu na MTA kwa sura hii..au ndo yale ya Juan Guaido na Nico Maduro.
 
Lissu ni mojawapo ya wanasiasa wabovu kupata kutokea Tanzania. Bora wamemvua ubunge maana ni aibu sana
 
Kaandika hivi kupitia twitter:

Jana nimeanza ziara nchini Marekani, itakayonichukua hadi tarehe 13 ya mwezi huu. Niko Atlanta, Georgia, hadi tarehe 6; kati ya tarehe 7 na 9 nitakuwa Washington DC, na kati ya tarehe 10 na 12 nitakuwa Houston, Texas.

Nitakutana na viongozi wa Serikali na wabunge wa Marekani; taasisi za kimataifa na sekta binafsi; vyombo vya habari; pamoja na Watanzania waishio Marekani.

Nitarudi Ulaya tarehe 14 na kati ya tarehe 15 na 20 nitakuwa na ziara ya aina hiyo hiyo Ujerumani. Kwa hiyo, mapambano yanaendelea.

Busara na Hekima zaidi zinahitajika baina ya pande mbili ' Hasimu ' vinginevyo naona kuna upande mmoja utaathirika vibaya.
 
Lwamarekani hawawezi kuwasikiliza chadema na Alina Zitto kabwe na lisu Wala kuwatilia maanani kwa kitendo chao cha kupiga Vita biashara zao za kuuza ndege zao za kampuni yao ya Boeing kwa Tanzania .Mmarekani ukishaingia yanga zake kupinga biashara zake hatakuwa na mpango na wewe tena.Wote mnakumbuka walivyopiga Vita bungeni na nje ya bunge kuwa serikali isinunue bombardier na Boeing.

Lisu asitarajie lolote la maana alilikoroga mwenyewe na chadema wake

Mmarekani yuko na Magufuli sababu kuna biashara hawezi kuwa na Lisu muuza sura

Sura ya Lisu haiwaingizii hela kama ndege wanazouza
Tuwe tunasoma tulicho andika kabla ya ku-post
 
Kwani happy wamemsikiliza au wamepiga naye picha? Kupiga picha na mtu ndio kuongea? Wangapi hupiga picha hata na Trump mbona kibao tu.Unaenda tembelea bunge Mfano kuona linavyofanya kazi Wakati wa chai unaomba kupiga nao picha
 
Atambue Tu.... Hao sio wqpiga Kura wake wala viongozi WA sovereign state of Tanzania

Back
Top Bottom