Lissu: Nimeambiwa na 'Kubwa la Polisi' tujiandae Lowassa kupelekwa mahakamani kwa uchochezi | Page 3 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lissu: Nimeambiwa na 'Kubwa la Polisi' tujiandae Lowassa kupelekwa mahakamani kwa uchochezi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Return Of Undertaker, Jul 17, 2017.

 1. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2017
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 1,862
  Likes Received: 4,473
  Trophy Points: 280  "Nimeambiwa leo na lipolisi kubwa kabisa kuwa jiandaeni Mhe. Lowassa atapelekwa mahakamani.... mtu pekee mwenye kinga dhidi ya mashtaka ya jinai ni JPM..."- Tundu Lissu
   
 2. boyfriendy

  boyfriendy JF-Expert Member

  #41
  Jul 17, 2017
  Joined: Sep 9, 2012
  Messages: 1,613
  Likes Received: 294
  Trophy Points: 180
  Na wewe pima DNA ili ujue
   
 3. Y

  YABUUU JF-Expert Member

  #42
  Jul 17, 2017
  Joined: Aug 14, 2015
  Messages: 1,148
  Likes Received: 886
  Trophy Points: 280
  kuna wat wanashangilia udhalim na ukandamzaj unaofanywa na selkar kwa upnzan, wanasahau kuwa chuk upandwa kma mbegu na ukua na kukomaa, visas ndo matokeo cku za uson. mifano n ming sana hasa Africa. mtu akiwa rais leo anakandamza wenzake na kutesa pia anatunga sheria kandamiz, kesho akiwa raia znamhukum na yeye. hebu tukomee ukandamzaj uu
   
 4. pulamu

  pulamu Member

  #43
  Jul 17, 2017
  Joined: Apr 17, 2017
  Messages: 27
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 5
  Daaaah Kweli elimu, elimu, elimu,,hivi kweli unamuhusisha YESU, na machafu yote yaliyofanywa na ccm,,, Kwanza Lowasa kajitenga na kundi la waovu, Hatakama ni fisadi bado anaendelea? hivi huo ufisadi wa Lowasa Uko wapi kwanini asipelekwe mahakamani mnaishia kasema tuu,, mmeshindwa makinikia, masamaki, escrow na vingine vingi.

  Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
   
 5. Erythrocyte

  Erythrocyte JF-Expert Member

  #44
  Jul 17, 2017
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 39,571
  Likes Received: 16,657
  Trophy Points: 280
  Jikite kwenye mada
   
 6. kmbwembwe

  kmbwembwe JF-Expert Member

  #45
  Jul 17, 2017
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 6,299
  Likes Received: 1,268
  Trophy Points: 280
  tuliambiwa lissu ana tatizo la akili wengi wakaona kama utani lakini wengi wameanza kuamini. wanadai aliwahi kua mgonjwa mirembe. haiwezekani mtu anaropoka maneno ya uchochezi na uongo kiasi hicho na yeye anaona sawa tu..mzee ruksa hakusema jpm aendelee na urais hata bila kuchaguliwa. ila alichosema kwenye kumsifu kama ingekua sio katiba kuzuia jpm angeendelea kwa jinsi anavyopendwa kwa utendaji wake mzuri. unaona huyu kichaa anavyoweza kubadili ukweli kua uongo na uongo kua kweli.
   
 7. U

  UWOGA=UMASKINI JF-Expert Member

  #46
  Jul 17, 2017
  Joined: Dec 30, 2013
  Messages: 1,679
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 180
  Kuna wimbo MMOJA hivi HUWA nikiusikia napata faraja sana
   
 8. M

  Meela JF-Expert Member

  #47
  Jul 17, 2017
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 787
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 80
  Kwa wenye akili za kuona mbali hii ni kutafuta kiki. Anataka ikitokea kuwa Lowassa hakukamatwa aseme kuwa ile caution yake imefanya polisi kugwaya kumkamata. Na akikamatwa kweli aseme kuwa ni kweli alishasema. NINA UHAKIKA huyu mtafuta kiki Lissu hata siku moja hatamtaja kwa ushahidi hili LIPOLISI analoliongelea. Hizi kiki watanzania tushazizoea imebaki kumshangaa Lissu kama anadhani sisi hatujitambui??????????? TUNAJITAMBUA na tuna uwezo wa kuchanganua mchele na chuya. Pole sana Lissu.
   
 9. Herbert Nkuluzi

  Herbert Nkuluzi Senior Member

  #48
  Jul 17, 2017
  Joined: Aug 10, 2015
  Messages: 184
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  Kwa hiyo bora uendelee kuongozwa na waliokufikisha hapo na sio kuongozwa na watu wachache waliotufikisha hapa ambao wametoka huko uovuni na kuamua kusawazisha makosa?

  Hivi wewe hujawahi kukosea?
   
 10. b191

  b191 JF-Expert Member

  #49
  Jul 17, 2017
  Joined: Jul 24, 2016
  Messages: 502
  Likes Received: 473
  Trophy Points: 80
  Hivi hawa hawatakiwi kukamatwa,

  1. Wanaosema Sizonje aongezewe muda

  2. Wanaorudisha fedha za wizi

  Nimewaza tu...
   
 11. lukesam

  lukesam JF-Expert Member

  #50
  Jul 17, 2017
  Joined: Feb 23, 2015
  Messages: 5,625
  Likes Received: 7,107
  Trophy Points: 280
  Mkuu inauma sana, huwa sipendezwi sana na mtu kutumia matatizo au mapungufu ya mwingine kumnyanyasa.

  Maradhi ya mtu yanapotumika kumtukana mtu sio busara sana kwasababu,wakiamua kujibu mapigo na kusema yake?

  Nilikuwa namuona mtu mwenye busara sana, kumbe ni kwasababu hakuwa na nguvu!
   
 12. Bams

  Bams JF-Expert Member

  #51
  Jul 17, 2017
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,600
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Kumbuka JPM aliunga mkono mikataba ya madini akiwa Waziri, leo anasema ni mibaya.

  Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
   
 13. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #52
  Jul 17, 2017
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 41,969
  Likes Received: 9,820
  Trophy Points: 280
  Kamata
   
 14. bily

  bily JF-Expert Member

  #53
  Jul 17, 2017
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 7,443
  Likes Received: 2,131
  Trophy Points: 280
  So sad .
   
 15. Sigara Kali

  Sigara Kali JF-Expert Member

  #54
  Jul 17, 2017
  Joined: May 28, 2017
  Messages: 241
  Likes Received: 456
  Trophy Points: 80
  Kawaida siasa haina adui au rafiki wa kudumu inaangalia upepo,ila nyie maCCM mnaona kama siasa ni uadui
   
 16. G

  Gulwa JF-Expert Member

  #55
  Jul 17, 2017
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 1,526
  Trophy Points: 280
  Angeanza na majizi sugu kama mkapa, jk na jpm
   
 17. BONGE BONGE

  BONGE BONGE JF-Expert Member

  #56
  Jul 17, 2017
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 2,913
  Likes Received: 1,144
  Trophy Points: 280
  Mzee wetu naye apumzike, hawa mavuvuzela wanamtumia kuchumia tumbo zao tu!!!!
   
 18. m

  mwalimu lyapongoka Member

  #57
  Jul 17, 2017
  Joined: Dec 28, 2016
  Messages: 87
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 40
  Kwani Lissu tangu amefanya ile press bado yupo uraiani auuu???

  Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
   
 19. bigmind

  bigmind JF-Expert Member

  #58
  Jul 17, 2017
  Joined: Oct 28, 2015
  Messages: 4,026
  Likes Received: 3,289
  Trophy Points: 280
  Tumia kiakili kiduchu ulichonacho kuficha mzigo wa ujinga uliobeba..!

  Siasa siyo uadui, ni timing acha ushamba mimi ssm ila sioni Shida..!
   
 20. fdizzle

  fdizzle JF-Expert Member

  #59
  Jul 17, 2017
  Joined: Jul 29, 2015
  Messages: 983
  Likes Received: 669
  Trophy Points: 180
  Mkuu uyo anachagua maneno ambayo hsyatamdaka kisheria unadhani "kubwa la polisi" kalitamka bahati mbaya? Hapo kwa zile lock up za masaa 48 zinawezekana ila mahakamani anachomoka

  Sent from my Phillips Savy
   
 21. Paul Alex

  Paul Alex JF-Expert Member

  #60
  Jul 17, 2017
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 2,613
  Likes Received: 3,223
  Trophy Points: 280
  Halafu Mbowe ukishindwa kutuamsha nitakata tamaa na upinzani.
  Hebu kuwe na muamko wa pamoja kutetea haki zetu alafu Mbowe ukae mbali ufunge macho ili usione nyani anavyokufa.
   
Loading...