Lissu: Naishi kwenye makazi ya balozi(Ujerumani) kwa sababu maisha yangu hayako salama, nitarejea Ubelgiji

Tundu anapenda tu kupakatwa na wazungu. Anadai maisha yake yako hatarini, mbona alikuwa anatemebea kwa miguu feri, Kariakoo na kwingineko bila kubughudhiwa, alikuwa na hatari gani?
Haya uliyoandika hapa yanaonesha we we siyo mstaarabu Bali mvuta bhangi Fulani tu hivi
 
Hivi mwaka ule wa 2017, wakati Tundu Lissu alipotoa taarifa za aina hii hii za vitisho, je Jeshi la Polisi lilichukua hatua gani?

Je mmeshasahau kuwa siku chache baada ya kutoa taarifa hiyo ndipo akamiminiwa risasi mfululizo kwa nia ya kumuua?

Mnataka na safari hii afanye hivyo hivyo wakati wale wauaji wake hadi leo "wanafichwa" na watawala wa nchi hii?
Hivi Lisu ndio mtu wa kwanza hapa duniani kupewa vitisho, kutishiwa usalama au kumiminiwa risasi? Naomba unijibu hili.
 
Hivi Lisu ndio mtu wa kwanza hapa duniani kupewa vitisho, kutishiwa usalama au kumiminiwa risasi?? Naomba unijibu hili.
Sema Tanzania na sio duniani!Ni mbunge wa kwanza kufanyiwa hivyo tena kwenye makazi yanayolindwa na kusiwe na suspect hata mmoja behind bars!Shame kwa serikali hii ya kifedhuli!
 
Hakuna mwenye shida na maisha yake ni wakati wa yeye kwenda kujibu kesi zake mahakamani aache kujitishia.

Uchaguzi umeisha sasa tuijenge nchi.

CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Sema Tanzania na sio duniani!Ni mbunge wa kwanza kufanyiwa hivyo tena kwenye makazi yanayolindwa na kusiwe na suspect hata mmoja behind bars!Shame kwa serikali hii ya kifedhuli!
Kama yeye ni mbunge wa kwanza kufanyiwa hivyo basi hatakua wa mwisho. Kushambuliwa kunaweza kutokea sehemu yoyote.
 
Kama yeye ni mbunge wa kwanza kufanyiwa hivyo basi hatakua wa mwisho. Kushambuliwa kunaweza kutokea sehemu yoyote.
Hamna utu kabisa nyie viumbe, ndio maana nikimkuta kada wa CCM hapo anajifia napita zangu naendelea na shughuli zangu maana naweza msaidia kumbe ndio wewe au watu wa aina yako!
 
Ni lazima arudi Ubelgiji na hilo linajulikana tokea kitambo

Kilichokuwa hakijulikani ni style atakayoitumia kuondoka Nchini bila aibu!

Kuhusu madai ya kutishiwa maisha kwa kupewa taarifa na Watu hao hao wanaokusudia kumshughulikia ni kichekesho na maajabu makubwa mno!

Wapo watakaomuamini na ndiyo Hali ya Dunia!
 
BABAKO ANGESHAMBULIWA KWA LISASI KIASI KILE NA KUPEWA ULEMAVU NDIO UNGEJUA SERIES ZA ISIDINGO.

PUMBAVU.
Jomba kwani unajua aliyemshambulia..unajua na je leo ukiambiwa wameshambuliana wenyewe kwa wenyewe...usitake watu waanze kutiririka hapa
 
Hamna utu kabisa nyie viumbe, ndio maana nikimkuta kada wa CCM hapo anajifia napita zangu naendelea na shughuli zangu maana naweza msaidia kumbe ndio wewe au watu wa aina yako!
Wewe ni kati ya wale wasioelewa kwann tuliletewa mfumo wa vyama vingi. Hasara ya mfumo wa vyama vingi ni ipi haswa.

Wacha nikueleweshe kwani nahisi umetekewa sana na matokeo hasi ya mfumo wa vyama vingi kuliko kutafuta nini chanzo cha marumbano yote haya.

Mfumo wa vyama vingi umeletwa na wakoloni wakijua fika siku moja tutashindwa kuelewana, tutachukiana sana na tutaishia kuuana cc kwa cc. Tukifikia hatua hiyo wazungu watarudi nchini kiulaini kumiliki rasilimali zetu.
 
Hata ka mimi ningekua Lissu ningeondoka. Nchi hii ya nyani imejaa wanafiki watu mnaibiwa mnaitwa kuandamana kudai haki yenu mnakaa kabisa na kusema aende mwenyewe akafe. Hivi mnategemea akisimama mwenyewe bila wananchi kumuunga mkono ataenda popote?

Sijaona nchi ina nyani waoga kama Tanzania, sio nchi hii ni choo kimejaa mavi tu. Na mimi naondoka very soon shenzi mbaki na mitandao mmezimiwa wala hamna mtu wa kuquestion hta moja. Siku tako likiamka asububi likajisiki kurudisha litapiga simu liseme haya rudishia hao nyani mawasiliano then mtakaa kushukuru ahsante sana mungu jiwe. Nchi ya kishenzi, watu wake washenzi. I’m done
 
  • Thanks
Reactions: VSM
Hamna utu kabisa nyie viumbe, ndio maana nikimkuta kada wa CCM hapo anajifia napita zangu naendelea na shughuli zangu maana naweza msaidia kumbe ndio wewe au watu wa aina yako!
Wewe ukipita ukaniacha mm nakufa haimaanishi kuwa sitapata msaada. Na hata nikifa nitazikwa tu bila msaada wako.
 
Hata ka mimi ningekua Lissu ningeondoka. Nchi hii ya nyani imejaa wanafiki watu mnaibiwa mnaitwa kuandamana kudai haki yenu mnakaa kabisa na kusema aende mwenyewe akafe. Hivi mnategemea akisimama mwenyewe bila wananchi kumuunga mkono ataenda popote?

Sijaona nchi ina nyani waoga kama Tanzania, sio nchi hii ni choo kimejaa mavi tu. Na mimi naondoka very soon shenzi mbaki na mitandao mmezimiwa wala hamna mtu wa kuquestion hta moja. Siku tako likiamka asububi likajisiki kurudisha litapiga simu liseme haya rudishia hao nyani mawasiliano then mtakaa kushukuru ahsante sana mungu jiwe. Nchi ya kishenzi, watu wake washenzi. I’m done
Wewe, Lisu na wapinzani wenu woote kama mnaona Tanzania ni nchi yenye ya nyani waoga na wanafiki, fungeni virago vyenu muende ubelgiji mkagombee ubunge na uraisi hukohuko msirudi tena Tanzania. Hatutaki kuishi na vibaraka.cc.

Kwann ikifika wakati wa uchaguzi Lisu anarudi nchini?? Na ww usirudi nchini kwetu. Nenda huko ubelgiji ukawatumikie mabeberu na makaburu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom