Waambie Wanyaturu wachukue nafasi zao. Yaani Mnyaturu mmoja aende Kilimanjaro kuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa na ahakikishe anapata wanachama wa kutosha!Wanaoondoka ni wachagga tu, why?
Amewaonea lini, vipi na wapi ? Kwanni awaonee? Kawaonea wakiwa wapi?Lissu anaonewa na serikali, lakini pia naye ajitafakari maana kuna watu ndani ya CDM anawaonea hadi wanafikia hatua ya kutaka kujitoa na wengine wameshajitao tayari
ni kwa namna gani tutaondokana na huu mfumo katili?
Mjinga ni yule anayejadili UKABILA KARNR YA 21!? WEWE NI MJINGA.Waambie Wanyaturu wachukue nafasi zao. Yaani Mnyaturu mmoja aende Kilimanjaro kuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa na ahakikishe anapata wanachama wa kutosha!
Nimemjibu Johnthebaptist aliyesema wanaojitoa Chadema ni Wachagga. Mimi ni Mhaya. Kama ungelikuwa fair na unalaani ukabila, ungelimgombeza Johnthebaptist na sio mimi. I just made a rhetorical comment (sijui kama unaelewa maana yake).Mjinga ni yule anayejadili UKABILA KARNR YA 21!? WEWE NI MJINGA.
MLISHAWAHI KUITA CHAGA DEMA ? Mnaita chama cha wanyaturu leo?
Una akili kama mtoto wa SHULE WEWE
BEI YA KITANDA MUHIMBILI NI 50 KWA SIKU
Naona matatizo yanaweza kumtokea Lissu.
Lissu anaweza kufanya nini kujiokoa?
Hawezi kufanya kitu chochote,kwa sababu yuko gerezani.
Lakini fikiria Ile verse katika Biblia,"The outcry against Sodom is very great. I am going there to find out what the heck is going on."
Chadema is in chaos.
Hao watu wanaweza vipi kuongoza nchi kama wao wenyewe hawana umoja?
Watu wanataka kujiondoa Chama, wambembeleze wasitoke.
Waambie umoja wetu ndio umetufikisha hapa. Vipi mnasema mnataka kujiondoa Chama?
But no, hawa wameahidiwa hela na nani sijui, kama mtu anataka kujiondoa Chama ndio vizuri,hela zote tutakula peke yetu.
Kumbembelezana, that is the key word. Umoja haupatikani kwa njja nyingine yoyote.
Unataka kujiondoa Chama kwa sababu gani. Let us discuss it.
Lakini kama unashinda Uchaguzi kwa kura chache halafu unavuruga umoja katika Chama haifai.
Kwa hiyo nasema jambo baya litamfika Lissu sasa hivi.
Now, don't tell me I want to cause the evil.
I am just predicting.
Dalili za mvua ni mawingu.
Yesu alisema "Tazama mawingu mazito,ujue mvua itanyesha,na usianze kuleta unafiki"
And thus the Blessed Buddha spoke and everyone applauded.
Kila inapopita kampeni ya No reforms No election, kiongozi mwenyeji kama alimuunga mkono Mbowe hapewi mic kusalimia wananchi. Huu ni ubaguzi ambao hata haukuwa na ulazima.Amewaonea lini, vipi na wapi ? Kwanni awaonee? Kawaonea wakiwa wapi?