Lissu maisha yake yapo hatarini

Lissu maisha yake yapo hatarini

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,729
Reaction score
5,637
Naona matatizo yanaweza kumtokea Lissu.

Lissu anaweza kufanya nini kujiokoa?

Hawezi kufanya kitu chochote,kwa sababu yuko gerezani.

Lakini fikiria Ile verse katika Biblia,"The outcry against Sodom is very great. I am going there to find out what the heck is going on."

Chadema is in chaos.
Hao watu wanaweza vipi kuongoza nchi kama wao wenyewe hawana umoja?

Watu wanataka kujiondoa Chama, wambembeleze wasitoke.

Waambie umoja wetu ndio umetufikisha hapa. Vipi mnasema mnataka kujiondoa Chama?

But no, hawa wameahidiwa hela na nani sijui, kama mtu anataka kujiondoa Chama ndio vizuri,hela zote tutakula peke yetu.

Kumbembelezana, that is the key word. Umoja haupatikani kwa njja nyingine yoyote.

Unataka kujiondoa Chama kwa sababu gani. Let us discuss it.

Lakini kama unashinda Uchaguzi kwa kura chache halafu unavuruga umoja katika Chama haifai.

Kwa hiyo nasema jambo baya litamfika Lissu sasa hivi.

Now, don't tell me I want to cause the evil.

I am just predicting.

Dalili za mvua ni mawingu.

Yesu alisema "Tazama mawingu mazito,ujue mvua itanyesha,na usianze kuleta unafiki"

And thus the Blessed Buddha spoke and everyone applauded.
 
Naona matatizo yanaweza kumtokea Lissu.
Lissu anaweza kufanya nini kujiokoa?
Hawezi kufanya kitu chochote,kwa sababu yuko gerezani.
Lakini fikiria Ile verse katika Biblia,"The outcry against Sodom is very great. I am going there to find out what the heck is going on."
Chadema is in chaos.
Hao watu wanaweza vipi kuongoza nchi kama wao wenyewe hawana umoja?
Watu wanataka kujiondoa Chama,wambembeleze wasitoke.
Waambie umoja wetu ndio umetufikisha hapa. Vipi mnasema mnataka kujiondoa Chama?
But no,hawa wameahidiwa hela na nani sijui,kama mtu anataka kujiondoa Chama ndio vizuri,hela zote tutakula peke yetu.

Mbowe na Genge lake wanaombea Afe kabsa wafanye mapinduzi mbowe arejee kuwa mwenyekiti kama Lipumba alivyofanya
 
Waswahili wana msemo.... "Mtoto wako mkabidhi mchawi, atakuwa salama". Jiulize kwa kina utapata majibu....... Hii puzzle wajuzi wanaifahamu hata kabla maswali hayajatoka, majibu wanayo........
 
Naona matatizo yanaweza kumtokea Lissu.
Lissu anaweza kufanya nini kujiokoa?
Hawezi kufanya kitu chochote,kwa sababu yuko gerezani.
Lakini fikiria Ile verse katika Biblia,"The outcry against Sodom is very great. I am going there to find out what the heck is going on."
Chadema is in chaos.
Hao watu wanaweza vipi kuongoza nchi kama wao wenyewe hawana umoja?
Watu wanataka kujiondoa Chama,wambembeleze wasitoke.
Waambie umoja wetu ndio umetufikisha hapa. Vipi mnasema mnataka kujiondoa Chama?
But no,hawa wameahidiwa hela na nani sijui,kama mtu anataka kujiondoa Chama ndio vizuri,hela zote tutakula peke yetu.
Kumbembelezana, that is the key word. Umoja haupatikani kwa njja nyingine yoyote.
Unataka kujiondoa Chama kwa sababu gani. Let us discuss it.
Lakini kama unashinda Uchaguzi kwa kura chache halafu unavuruga umoja katika Chama haifai.
Kwa hiyo nasema jambo baya litamfika Lissu sasa hivi.
Now, don't tell me I want to cause the evil.
I am just predicting.
Dalili za mvua ni mawingu.
Yesu alisema "Tazama mawingu mazito,ujue mvua itanyesha,na usianze kuleta unafiki"

And thus the Blessed Buddha spoke and everyone applauded.
Lissu anaonewa na serikali, lakini pia naye ajitafakari maana kuna watu ndani ya CDM anawaonea hadi wanafikia hatua ya kutaka kujitoa na wengine wameshajitao tayari
 
Naona matatizo yanaweza kumtokea Lissu.
Lissu anaweza kufanya nini kujiokoa?
Hawezi kufanya kitu chochote,kwa sababu yuko gerezani.
Lakini fikiria Ile verse katika Biblia,"The outcry against Sodom is very great. I am going there to find out what the heck is going on."
Chadema is in chaos.
Hao watu wanaweza vipi kuongoza nchi kama wao wenyewe hawana umoja?
Watu wanataka kujiondoa Chama,wambembeleze wasitoke.
Waambie umoja wetu ndio umetufikisha hapa. Vipi mnasema mnataka kujiondoa Chama?
But no,hawa wameahidiwa hela na nani sijui,kama mtu anataka kujiondoa Chama ndio vizuri,hela zote tutakula peke yetu.
Kumbembelezana, that is the key word. Umoja haupatikani kwa njja nyingine yoyote.
Unataka kujiondoa Chama kwa sababu gani. Let us discuss it.
Lakini kama unashinda Uchaguzi kwa kura chache halafu unavuruga umoja katika Chama haifai.
Kwa hiyo nasema jambo baya litamfika Lissu sasa hivi.
Now, don't tell me I want to cause the evil.
I am just predicting.
Dalili za mvua ni mawingu.
Yesu alisema "Tazama mawingu mazito,ujue mvua itanyesha,na usianze kuleta unafiki"

And thus the Blessed Buddha spoke and everyone applauded.
porojo na ramli za kilofa sana hizi gentleman, politically speaking :pulpTRAVOLTA:
 
Unachokiongea haukijui
 
Ndio silaha wanayotumia dhidi ya wapinzani hiyo aya ya sodoma¿?
 
Mungu aliyemuokoa na zile risasi ndo atakaemuokoa ht SS huko gerezani
Usiogope.

Sauti ya mtu alisema nyikani, itengenezeni njia ya Bwana....
 
kikawaida wanasiasa huwa hawafii jela, akifa watu watajua kauliwa labda afe kwa maradhi ya kawaida
 
Back
Top Bottom