Lissu kupata msamaha wa Rais?

Hatutaki huo msamaha uchwara
 
Muda wa kuwasikiliza nyie wajinga haupo tena!! Nyie mnachezea malaya zenu huko mwenzenu anataabika gerezani mmebaki kukata viuno humu!! Lissu akitoka akafanye mambo yake aachane na nyie mataahira aka keyboard warriors 🚮
Huna marinda tena wewe
 
MTU anayekutesa, kukufunga, kukuonea bila kosa tuu halafu akikuachia unasema amekusamehe?
Amekusamehe kwa kosa gani?
Ebu nieleweshe huo ni msamaha gani?
 
Tayari kaashapata msamaha kwa kufungwa miaka minne badala ya kunyongwa.
 
Sahihi kabisa.
 
Msamaha ni sasa, akamzike kaka yake
 
Alimbambika kesi, akamfunga, haitashangaza kumtangazia msamaha
 
 
Hana shida na msamaha wenu maccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…