Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 16,834
- 62,154
Propesa Kabugi ni good orator, ni mtaalam wa rhetoric lakini hana substance za kisheria
Nadhani yamekosa kazi.Mbona ma-CCM mnaweweseka na Lissu....
Da madini ya kutosha kabisa nimeipenda hii postMtaalamu wa sheria hujulikana kwa idadi ya kesi anazoshinda,si uprof.wala si phD na wala si vinginevyo.Huwezi mtu ukawa engineer wa mechanical engineering wakati hujuwi hata kufufua excavator iliyoharibika.Eti oooo Mimi ni engineer wa theory,hakuna kitu kama hicho duniani.Theory yako lazima uilete ktk practical na izae matunda ndipo tutasema fulani ni msomi.
Hivi mbona uelewa wako ni mdogo kiasi hicho. Bado hujaelewa tu nilichoandika hapo? Kwamba sheria zote zinazotungwa nchini ni lazima rais ahusika. Kwamba bunge haliwezi kutunga sheria ye yote bila rais kuhusika. Miswaada yote inayotungwa/kupitishwa na bunge ni lazima ilidhiwe (assent) na kusainiwa na rais ndipo inakuwa sheria. Bila ya kuridhiwa na rais misuada hiyo haiwezi kuwa sheria. Hizo ndizo a, b, c, za kutunga sheria. Wewe baki na hizo a, e, i, o, u zako.Usiwe unakimbilia kuchangia kama hujaelewa vizuri.
Tundu Lissu amechambua vizuri ni kipindi gani rahisi anaweza kutumia nafasi yake kuweka sheria. Sio wakati wowote eti raisi anaweza kutumia hiyo nguvu yake kuna mazingira na wakati maarumu ndio raisi anaweza kufanya hivyo. Ni rahisi tu kuelewa yaani ni kama kusoma a, e, i, o, u.
"Hakuna anachojua". Ni point yenye " less" mbele. Ni kitu gani/ushaidi upi unaoweza kuutoa kwa mtu na kakuelewa kuwa Lissu "hakuna anachokijua"???.Wasioelewa watakushukia kwa maneno ya kipumbavu lakini ukweli ndo huo. Lissu hana anachojua zaidi ya kubwabwaja. Ni kati ya wanasheria wa hivyo kuwahi kutokea. Hata bwana mdogo Albert Msando anamtoa kwente reli. Ajitathmini aone kuwa nje ya ulingo wa siasa anacho kitu anaweza kufanya ? He is a bare headed mind in the darkest of ghost.
Hayo ndo matatizo yake kuhamisha mafanikio ya darasani hadi Bungeni. Nadhani huwa anatafuta sababu ya kutaja hiyo GPA. GPA inapatikana kwa kujibu maswali vizuri, basi! Bungeni tunataka watu wenye busara, wenye uwezo wa kufikiri na kutatua matatizo ya wananchi. Hayo hayapimwi kwa GPA! Siyo lazima GPA kubwa ipatikane kwa mtu mwenye sifa za ubunge. Ni sawa na uwezo wa ngiri kukimbia kuliko binadamu, hapati nafasi ya kumshinda binadamu akili ya kutatua matatizo yake.Atleast tunaongea lugha moja mzee yule anakwambia ni 4.8 GPA
Ni haki yako kutoa maoni!! Kila mtu kichwa chake. TL ni mtu when it comes to sheria.Naanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,
Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,
Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,
Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,
Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui
Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,
Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
Prof Kabudi hata mtihani wa Tanzanian Bar Association (Bar Exam) hajawahi kuufanya, apelekwe Tanzanian School Of Law akaone balaa lake, halafu ndo mrudi tena na hoja yenuKabudi aliisoma kwa kuangalia ..mwenzake lissu aliisoma kwa kuona .
Umri wa Lissu na uwezo wake wa Sheria..HUWEZI kaa nakufikiria uulinganishe na KABUDI .
Lissu nikitu kingine ndomaana mnapenda hata aaimie uko.
Tafadhali tuambie ulichokielewa katika mafundisho ya mpaa magambaLissu hamna kitu. Mikataba ikipelekwa bungeni wabunge wa upinzani wanaanzisha maneno mitandaoni!.
Kabudi kawafundisha wengi tu wa aina ya Lissu. Na kwa sababu kazoea kufundisha, anaongea kwa nia ya kutaka mtu aelewe.
Lissu kwa sababu ya majivuno huwa anawakejeli watu ambao wanaapa kama yeye ndani ya bunge.
Approach ya Lissu ni mbovu hata kama anaweza kuwa na hoja nzito anayotaka kuiwakilisha, Kabudi ni mzoefu wa kujenga hoja, mzoefu wa sheria na taratibu zake kumzidi Lissu.
Naanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,