Lissu: Hata Mbowe achunguzwe!

Lissu amechukizwa na serikali kulichukulia poa swala la yeye kushonwa risasi bila hatua zozote za uchunguzi kufanyika na ndiyo maana anaituhumu serikali ambayo ina mamlaka ya kufanya uchunguzi ili kubaini nani alihusika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina hakika kama kweli amesema hivyo, vinginevyo lete ushahidi
 

Hoja kama hiyo ya Hauoni kwa kukosekana uchunguzi huru ni doa kwa utawala? ni ya kizushi na inaendelea kutolewa mara kwa mara. Serikali na Jeshi lake la Polisi halijayumbishwa na hoja hiyo kwa kuwa liko imara na makini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo wana chadema mnakoma na kupewa vya uso.. huku wa humu..

Nimejua asilimia kubwa nyie sio wanachama hai wa hicho chama, bali ni watu mnaokuja humu kwa ajili vyuma vimekaza kutolea stress zenu za njaa kali.
Tatizo ni kwamba kila anaye tofautiana na serekali mnamwita chadema, kinyume chake ni sahihi pia
 
Mambo gani bavicha mnayaleta TL kamtaja mbowe

Kwanza kabisa kabla hatujafika mbali, acha kuonyesha wendawazimu kwa kuniita bavicha, naomba tuweke kwanza hilo sawa.

Sikiliza vizuri maelezo ya TL urudi hapa, umesikiliza majina yote aliyoyataja kwenye yale mahojiano?

Kama unaweza kuniita bavicha wakati hauna uhakika natilia sana uwezo wako ndio maana umeelewa tu kwamba TL kamtaja mwenyekiti wa chama.
 
Kumuelewa Tundulissu inakutaka usiwe na ajili za kushikiwa!!mtoa mada ana IQ mdogo Sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…