Lissu: Hata Mbowe achunguzwe!

Haishangazi .
Huo ndio ukweli wenyewe.. anaujua hataki kuusema ili achafue tu serikali.
Kama hiyo ni kweli basi wamefika pabaya.

Yetu macho
Maprofesa wawili wa ccm wanashea wasichokielewa

Lissu anasema uchunguzi ufanywe kama ni mbowe itajulikana kama ni jiwe itajulikana kama na mahips itajulikana

Nahisi Nazi zenu ni koroma ndio maana zinakosa ushirikiano


Zero professor

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya maswali unamuuliza Lisu anayetaka mbowe achunguzwe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sasa si uwaandikie wahusika maofisi mwao au umeninukuu ili wakusome humu?
💀💀💀
 

Duh
Leo umepata nafasi tena.. umepora wapi cha kuingilia humu JF... eeeeeeh umekuja kuandika porojo zako kama kawa.
 
WEWE HUNA HATA UNALOJUA.
KWA MAELEZO HAYO YA KUSEMA MBOWE ACHUNGUZWE WE UMEONA UJINGA KAMA HUO ULIOWAHI KUJA KUANDIKA HAPA???
 
Wewe mwehu. Unadhani ul8sikia pekee yako? Au hata akili ya kukumbuka kilichosemwa, huna?

Mh. TL aliulizwa kuwa huenda ameshambuliwa na watu wa ndani ya chama chake, naye akajibu kuwa ndiyo maana anataka kuwe na uchunguzi. Na akafafanua kuwa uchunguzi ufanyike. Kama anatuhumiwa Mbowe, Magufuli, Makonda au mwingine yeyote, uchunguzwe huru ufanyike. Hivi kwa maelezo hayo, kwa hoja za kijinga unaona kuwa majibu hayo yanashabihiana na hicho kichwa chako cha habari?
 
Unajibaraguza tu, tulia dawa iingie vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo gani bavicha mnayaleta TL kamtaja mbowe
 
Mambo gani bavicha mnayaleta TL kamtaja mbowe
 
Kwa hili Makengeza hawezi kuwa salama alianza mambo haya toka Enzi za chacha wangwe
 
Binadamu anayemmiminia binadamu mwenzake risasi 38 hakika si mzima na ukweli ni kwamba aliyemimina risasi kwa sasa anateseka kuliko aliyemiminiwa risasi...kweli Mungu Mkubwa.
Binadamu aliyepiga risasi 38 ni muhuni hawezi kuwa Mwanausalama aliyefunzika
 
Mkuu umeandika uongo.Hizi ndio nyuzi za kufuta kwasababu umeuadanganya uma.

Hoja ya Tundu Lissu ni kwamba, kwa wale wote wanaosema Chadema(au Mbowe) ndio aliyemshambulia kwanini jeshi la polisi lisiwachunguze?

Akahoji kuwa kwani sheria zetu zinaipendelea Chadema/Mbowe kwa kama wao wanahusika wasichunguzwe?
 
Kwa maelezo yako haya unatofauti gani na mleta nyuzi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…