Lissu: Dr. Slaa ni Rais ajaye

CCM wajiandae tu kisaikolijia kwan hata mwenyekit wao alishawaambia so kama mwenyekit wao arishaki sembuse hao makabwela wapiga mboyoyo!!
 
Utakosa kumwita mzinzi wakati huwa unamkuta na mamayako?.Wewe unauhakika gani huyo uliyeambiwa ni babayako ndie yeye?.Jiandae kuhama nchi kama hautaki mana huyo ndie Rais ajaye tutamchagua sisi

Labda utamchagua wewe na mama yako
 
Naona mmekosa uvumilivu wa kisiasa maana mmeanza personal issue na matusi yasiyokuwa na mbele wala nyuma SWALI MODERATOR M
POWAP??
 
Najua isipokuwa umesema Maalim Seif atagombea Zanzibar kwa hiyo nafasi ya JMT itakuwa Dr.Slaa kwa maandalizi yenu ya UKAWA kuunda tofauti baina ya nchi hizi mbili au sio? nimewaelewa.. Among things which make me go mnnnnh!
Unajiundia statement halafu anauliza na kujijibu mwenyewe mwisho unalishangaa jibu lako, sisi wengine unatufanya tukushangae zaidi.
 
Unajiundia statement halafu anauliza na kujijibu mwenyewe mwisho unalishangaa jibu lako, sisi wengine unatufanya tukushangae zaidi.
Mkuu nimesema nimekuelewa ulichokisema mwanzo na ndicho nilichoandika kuonyesha nimekuelewa jibu lako au nakosea bado?
 
Kama wewe huoni tatizo wengine tunaona kuna tatizo nafikiri hii inatokana na malezi na makuzi tofati tuliyolelewa.

Jamani watz tuwe serious na maisha yetu uchaguzi ndio maisha yetu tusifanye mzaha ni wakati muafaka wa kufahamu ni nani kiongozi wetu wa kutuondolea aibu hii iliyoletwa na ccm tubadilike sasa mambo ya wizi wa mali ya umma tumechoka ni lazima tubadilishe chama sasa hawa ccm wamechoks wala hawana mwelekeo tena wamepoteza dira tuachane nao sasa tuchague wengine hata hao wengine wasipofanya vizuri bado tunaweza kubadilisha uchaguzi utakaofuata lakini naona wengine hasa ukawa wanaweza kutuvusha salama
 
Dr Slaa Jembe wewe... tukimpa nchi mafisadi wote watajificha shimoni... matajiri walioiweka mfukoni serikali ya ccm watajuta... lazima walipe kodi zetu kuanzia mwakani.... Dr Slaa atakomesha magumashimagushi yote yaliopo serikalini.... tumpe nchi mkombozi wa wanyonge Dr W. Slaa.
 
Mkuu nimesema nimekuelewa ulichokisema mwanzo na ndicho nilichoandika kuonyesha nimekuelewa jibu lako au nakosea bado?
Mkandara
Hata mimi nilikuelewa na lengo lako nililiewa, uliposema rais wa JMT atakuwa rais wa Tanganyika ulitaka kuonyesha Ukawa wanataka kuleta uzanzibari na utanganyika, nikakujibu kwa busara kuwa tutatumia katiba tuliyotumia 2010, bado hukuridhika ukaniwekea maneno kuwa nimesema Seif atagombea Zanzibar na Slaa JMT ili kuleta tofauti ya nchi mbili kitu ambacho sikukisema.

Nashukuru umenielewa ila mimi sio wa kudhaniwa kama unavyofikiri, huwa niko makini sana kwa kila ninachoandika.
 
Last edited by a moderator:
Ukawa wakae wakijua kwamba nchi hii haiwezi kuongozwa na Padre.

Halitakuja kutokea.

Wasituletee uchuro kabisa.
 
Dr Slaa Jembe wewe... tukimpa nchi mafisadi wote watajificha shimoni... matajiri walioiweka mfukoni serikali ya ccm watajuta... lazima walipe kodi zetu kuanzia mwakani.... Dr Slaa atakomesha magumashimagushi yote yaliopo serikalini.... tumpe nchi mkombozi wa wanyonge Dr W. Slaa.

Tumpe nchi kisha aigeuze kanisa??

Ufa.la huo hakuna wa kuthubutu kuufanya.
 
lisu sijui amekula maharage ya wapi huyuuu!!!!SLAAA KAMWE HAWEZI KUWA RAIS WA HII NCHI, RAIS ANA MCHUMBA AMBAYE NI MKE WA MTU.... HAHAHAHAHAHAHAHA
 
Back
Top Bottom