Lissu bado anahitaji msaada wenu Watanzania

Lissu bado anahitaji msaada wenu Watanzania

kwa unamaaanisha familia ya lissu inabana hela zao halafu inaomba kwa watanzania, guys tuweni serius kidogo.. haya mambo msilete masihara kabisa..kama hauko tayari kuchangia KAA KIMYA!
Wewe ni nani mpaka uninyamazishe.... kaa kimya wewe unayetoa povu mitandaon as if una uchungu sana lakin hata senti moja hujachangia.... kama umemuelewa mtoa mada vizuri anasikitika kitendo cha watu kama nyie kusema mtamchangia matokeo yake hata mia hamjatoa.

CHANGIA ACHA TANTALILA.
 
lakini mkuu,hata 1000 huwezi?,
airisha kununua MB just for one day,it wont kill you
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kazi zangu ndio nafanya kupitia hizo mb, nisipoweka huoni kama nitalala na njaa??

Sidhan kama Lissu amekosa kabisaa hata Bro Nyalandu na wale Wamarekani wake nao kimyaaa!!! No haiwezekani.
 
Tuliwasihi mfuate mwongozo wa serikali ktk matibabu ya ndg yenu. Lkn hamkutusikiliza.

Wafanya siasa waliowadanganya leo wapo wapi!Michango imekata na mnabaki sasa kuilalamikia serikali.Hii si sawasawa!

Laiti mngefuata mwongozo wa serikali ktk matibabu ya ndg yenu wala kusingejitokeza mapungufu hayo.

Sasa pambaneni na hali zenu!
 
uungekuta lissu kashazikwa na tumemsahau

Ulaaniwe na Maliyamungu mlio mpiga risasi
 
Asiyesikia la mkuu huvunjika guu,Wakafuate michango kwa yule mtukanaji si alichangisha.Serikali ilisema itamtibia lakini kiherehere wakafanya siasa kwenye matibabu,sasa yako wapi?
 
Watanzania!!!!
ina maana yeye alikua hana akiba hata kidogo?? mkewe?? ndugu zake?? marafiki??
Guys tuweni serious kidogo.

Na Bunge nalo kwann halimsaidii sasa labda tumuulize Mange atasemaje.
Mkuu nasikitika unaonekana kama sio mtu unayejali...elewa kuwa kile alichokuwa anakipigania TL ni kwa maslahi ya wanyonge wa nchi hii ambao ni mm na ww..iweje kile kilichompata kiwe cha kwake na familia yake?mchango ni hiari usipotoa wewe mwingine atatoa..cha msingi tuzidi kumwombea tu mungu amponye!..Kuhusu bunge hapo umenena..ila ujue tu kwamba hapa Tanzania hakuna mihimili mitatu inayojitegemea..yawezekana kuna maagizo toka juu!
 
Wahenga katika hili suala wanakubalika sana kwa msemo wao huu" ujanja mwingiii mbele giza". Wangeutumia utaratibu wa bunge na serikali sasa hivi angekua anapatiwa matibabu India; pesa za michango hazitoshi na hazitakuja kutosha. Chadema wapambane na hali yao sasa.
 
Watanzania!!!!
ina maana yeye alikua hana akiba hata kidogo?? mkewe?? ndugu zake?? marafiki??
Guys tuweni serious kidogo.

Na Bunge nalo kwann halimsaidii sasa labda tumuulize Mange atasemaje.
Wewe naona hauko serious!
 
UKWELI UKO WAZI

Naomba muheshimiwa na waheshimiwa wengine wa chama chetu chadema watuambie michango ilikusanywa kiasi gani na matibabu yalikuwa kiasi gani na imepelea kiasi gani ili tuendelee kutoa michango.

Toafut na hapo nitaamini wazi kuwa mwenyekiti wetu MBOWE NA genge Lake wanahusika kwa asilimia 100 kitendo cha kikatili alichofanyiwa LISU,

haiingiii akilini eti serikali imeshindwa kutibu, nachojua ni CHADEMA kuingilia utaratibu kwa kudhani wao wanapesa sana kuliko serikali na kutoa matusi mazito dhidi ya serikali yetu pendwa.

Ombi, wanachadema na watanzania kwa ujumla wetu TUSICHANGE HATA 100 hadi tutakapopata maelezo kamili yaliyojitosheleza kuhusu matibabu ya lisu yalipofikia na mikakati mipya.
 
Huku JF watu waliongoza kupinga ile kauli ya wizara kwamba family iandike barua ili serikali imtibu.
Familia ikaingia mkenge,walipoona michango imekata wakaandika!;
Mwanasiasa hajawahi kuwa na nia njema kwa yeyote.
Any way Lema alisema atauza figo ili apate helahela kwa ajili ya Lisu.
Labda hajapata mteja
Kuwa na huruma kidogo tumchangie kamanda apone mengine temea kushoto
 
UKWELI UKO WAZI

Naomba muheshimiwa na waheshimiwa wengine wa chama chetu chadema watuambie michango ilikusanywa kiasi gani na matibabu yalikuwa kiasi gani na imepelea kiasi gani ili tuendelee kutoa michango.

Toafut na hapo nitaamini wazi kuwa mwenyekiti wetu MBOWE NA genge Lake wanahusika kwa asilimia 100 kitendo cha kikatili alichofanyiwa LISU,

haiingiii akilini eti serikali imeshindwa kutibu, nachojua ni CHADEMA kuingilia utaratibu kwa kudhani wao wanapesa sana kuliko serikali na kutoa matusi mazito dhidi ya serikali yetu pendwa.

Ombi, wanachadema na watanzania kwa ujumla wetu TUSICHANGE HATA 100 hadi tutakapopata maelezo kamili yaliyojitosheleza kuhusu matibabu ya lisu yalipofikia na mikakati mipya.
Well Said, [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Back
Top Bottom