Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,494
- 21,453
Tundu Lissu ana njaa??Kumwambia MWENYE njaa,nenda tu Mungu atakusaidia,bila kumpa chochote ulicho nacho..je haujui YA kwamba imani bila matendo imekufa.?
Sent from my TECNO_P5_PLUS using JamiiForums mobile app
au ulimaanisha mwenye njaa yupi kaka.
Walalahoi tunasaidiana mbona wala huitaji akwambie nikipiga dili najua nawamegea kiasi washikaji ila hapa mada ni mchango wa huyu kaka mkubwa.