kwanini wamezima kipaza sauti??? kweli nimeamini siasa ni kipaji nilivyo na hasira ningeweza kung'oa hapo hicho kipaza sauti na kila siku ningepigana huko bungeni duhh kazi buti mkuu Lissu
Siku nzuri huanza asubuhi. niliposoma heading ya post yako, nilitaka kuona kama content yake inafanana na heading. I'm suprised kwamba inafanana. Leo umependeza mwanangu, nahisi magamba yanaendelea kukudondoka.
HAMY-D vipi leo.Leo umeamua kuja kivingine kibisa.Kuna thread yako nyingine uloanzisha leo JF -siasa kuhusu Juliana Shonza kueleza ukweli kuhusu kuahidiwa ubunge wa viti maalum CCM,kama atakamilisha vema kazi alopewa ya kuikashifu CHADEMA.Mimi ni CCM, ila Lissu namvulia kofia, jamaa ni jembe.
hahahaha.. Chilipamwao, mbona mimi ni gwanda ndani ya gamba!!
Ila ni vyema wana-CCM wenzangu ifike wakati tukubali tu kama kuna majembe CHADEMA, kama huyu Lissu, I'm proud of him.
What a rotten scrambled egg smells! that is what your brains are!lissu haoneshi usomi wake bali ujinga. ni jitu lenye kiburi, jeuri.... hadi najihisi kutapika!
Mimi naona ametia aibu anazungumza kitu ambacho hakihusiani na kilichowasilishwa ameishia kulalamika na kutaja ccm mda wote.huku ndiko kuisha kisiasa.
Hata wewe HAMY-D umeanza kuwa jasiri......maana kumpaisha Lissu ni ''kashfa'' kwa Buku Saba Dirty Inc
Lissu akiwa anatoa mchango wake kwenye muswada ulioletwa na serikali, amezimiwa kipaza sauti baada ya kukaidi maelekezo ya spika ya kuacha kukitaja chama cha Mapinduzi katika mchango wake.
Lakini Lissu ameendelea kuongea na kukitaja chama cha Mapinduzi huku kipaza sauti kikiwa kimezimwa kwa takribani kama dakika 4 mpaka kipaza sauti kilipo washwa tena, huu ni ujasiri wa ajabu.
Haya yote ni katika kuelezea jinsi alivyo funguliwa kesi ya rufani na bwana Kinana kupinga ubunge wake, pia na mapungufu mengine ya mahakama kama vile kushinikizwa na vyama vya siasa.
ngoja nisaidie kufikisha ujumbe wakohahahaha.. Chilipamwao, mbona mimi ni gwanda ndani ya gamba!!
Ila ni vyema wana-CCM wenzangu ifike wakati tukubali tu kama kuna majembe CHADEMA, kama huyu Lissu, I'm proud of him.