Lissu atia fora bungeni

HAMY-D sikuelewi ujue... huna hofu juu ya 7up yako? umehama au umehamishwa? leo uko vizuri
 
Leo ndo nimeamini ni kwanini JK alisema hakikisheni Tundu Lisu asipate UBUNGE kwa sasa babu huyu jamaa ni Genius.. JK baadaya ya kuweka mikakati alishachelewa kabisaaa na tayari jamaa alishaapishwa kuwa Mbunge.. na sasa JK kinachomla ni Tungu Lisu...
I kumbukwe hata Professor Shirvij alitaamka wazi kuwa Lisu ni mwanafunzi wake lakini amemshinda na hawezi kushindana na Lisu kwa sasa....
Sembuse awe JK asiyejua Sheria wala kupanga hoja? Huyo Bi Kiroboto hapo mjengoni we mwaache aendelee kukuropoka maana mwisho wake ni 2015... tunajua kazi yake n kukira vijana.. Swali: Nania anamjua Mume wa Bi Kiroboto?????? Ane Mkinda????
 
Amemliza kwa kusema naomba kuwasilisha b kiroboto kamwambia unawasilisha yasiyo ya muswada
duuh hyu mama noma

Tatizo hajui wajibu wake. Anapo kaa kwenye kile kiti naamini anafikiri yupo SALUNI kutengeneza nywele.

Kifupi mama KABWAYA kuliko maelezo.
 
Ukweli ni kwamba Lissu hana chochote zaidi ya kucheza na lugha, nimeshawahi sema tena humu. Lisu ni mjanja katika maneno na siyo katika hoja. na siku zote wajenga hoja hawapendwi. Watu tunashadaia sana mbunge anaposimama na kunena mabaya juu ya chama fulani iwe kwa ukweli ama uongo. Lisu kama mwanaharakati na siyo mwanasiasa lazima aongee kwa style hiyo ni kama ilivyo kwa wengine wengi tu tunaowajua. Kwa mfano Lipumba pale Msikitini (ingawa inasemekana Nchemba ndiyo aliitengeneza Video hiyo) alikuwa anaongea yasiyo mema lakini waliokuwepo pale walikua wanashangilia na kumuona shujaa.

Msimamo wangu utabaki palepale kuwa Lisu no mchezea maneno, populist, mpenda kuonewa huruma na asiweza kusimama mwenyewe kwenye siasa bila kivuli cha mtu mwingine (nacho kwa sasa ni CCM).
 
Tiutaona na kusikia mengi> Hujuma hadi bungeni na Spika anamezea:kev::disapointed:
 
Mh.Tundu Lissu ni kamanda wa ukweli tuna imani naye na daima tupo nyuma yake!!huyu bibi kiroboto tutamuhukumu kwenye mahakama ya umma na atahukumiwa tu!!ni mnafiki sana haswa anaposimama mtetezi wa wanyonge(CHADEMA)

Namuonea huruma sana bi Kiroboto, kati ya wanaccm walioipotezea ccm umaarufu kwa kiwango kikubwa ni Viongozi was bunge. Wamekuwa wakionyesha Udhaifu wa wazi kiasi wananchi wanajenga hasira na maamuzi yanayofanywa na viongozi hao.
Kuipa ccm adhabu itakayo waadabisha ni Kusema hapana ccm kwenye sandukua Kura.
Na hilo wameshaliona ndio maana wameanza kulalamikia rasimu ya katiba yenye mawazo ya wananchi sasa wanataka itungwe katiba inayoibeba ccm. Tuseme HAPANA katiba ni ya Watanzania sio ya ccm
 
nimependa sana hako kajina kanamfaa,tumnikname hako.
Unaonaje hako kajina hapo kwenye red carpet, unakazungumziaje mkuu?

mayonise

Join Date : 13th October 2012
Posts : 39

Rep Power : 342

Likes Received
1
Likes Given
7


Amemaliza kwa kusema naomba kuwasilisha b kiroboto kamwambia unawasilisha yasiyo ya muswada

duuh hyu mama noma
 
.......Lisu kukitaja Chama Cha Mapinduzi kwa mabaya yake ni haramu, ila ni ruksa kwa Magufuri kutamba na kuitaja CCM kwamba inatimiza ilani yake!! bure la kipuuzi kabisa hili.

Ni upuuzi, kwa kweli ma CCM hamnazo na yanaboa,SPIKA huyu anatupeleka pabaya na mafisadi wenzake!!
 
Wameshamfanyia ugaidi aiseee, unajua mimi nilikuwa nafuatilia wakati Mpini ulipokuwa unawasilisha maoni ya kambi ya upinzani nikashangaa wamem-mute lakini mwanaume akaendelea kupigilia misumari ya moto kwenye mgongo wa b. kiroboto kama kawa mpaka akamaliza ndiyo wakamwashia kipaza sauti. Duuuuh huuu ni ugaidi laivu.
 
Mimi ni CCM, ila Lissu namvulia kofia, jamaa ni jembe.

Nikweli tunajua wewe ni ccm lakini lissu ni anachoma mahali nyeti siku zote na anahoja za maana ambazo inakuitaji uwe genias kama yeye ili uweze kuzijibu.
 
Back
Top Bottom