Hata wewe HAMY-D umeanza kuwa
jasiri......maana kumpaisha Lissu ni ''kashfa'' kwa Buku Saba Dirty
Inc
huyu jamaa hata mimi simuelewi jana kwenye thread moja upande mmoja na mwigulu yupo na tundu dah hawa ndo wale akina ludovick
Ametuhamasisha tufukie visima na tusichangie maendeleo yetu km vile kujenga shule, maabara etc Leo Ikungi ni ya mwisho kwa kila kitu
Tangu lini ulianza kupiga kura chadema,wewe pure gamba,kati ya kura zote alizopata Lissu huna mchango hata mojaMsifieni tu lakini sie wananchi wake tumemchoka sana na hatumtaki tena sijuwi awe mbunge wa humu JF
mpuuzi....
Mh lisu analijuwa na alifanya makusudi ili asiungwe mkono maana toka mwanzo wakati anasoma mapendekezo ya kambi ya upinzani tena alitamka kwa kinywa chake kuwa ni mapendekezo ya msemaji wa kambi ya upinzani kwa kuishambulia ccm waziwazi hata alipoonywa na spika kuondoa maneno ya ccm aliendelea sasa kama wao cdm sio lazima.kuunga ya ccm kwa nn yy wamuunge? Acheni ushabiki wa kijinga hapa wala msifikili lissu ni bora zaidi kuliko wengine hata ccm kuna vichwa vinavyofikiri zaidi ya lissu au mnapenda sauti yake tuu? Kama alikuwa na hoja ya msingi na alitaka kuungwa mkono na pande zote asingeanza kubeza upande mwingine, kwani nani hapendi chama chake? Au mnafikiri ccm haina wenyewe? Sasa bila aibu tunasema tupo na tutaendelea kuitetea na kuilinda.
Msifieni tu lakini sie wananchi wake tumemchoka sana na hatumtaki tena sijuwi awe mbunge wa humu JF
Mara ya kwanza kukukubali Hamy,utakosa posho!
Lusinde kilaza tu, hafiki hata Nusu ya uwezo wa Mr 2 aka Sugu , a.k.a Joseph Mbilinyi , from street to Parliament !lusinde je???
Mh lisu analijuwa na alifanya makusudi ili asiungwe mkono maana toka mwanzo wakati anasoma mapendekezo ya kambi ya upinzani tena alitamka kwa kinywa chake kuwa ni mapendekezo ya msemaji wa kambi ya upinzani kwa kuishambulia ccm waziwazi hata alipoonywa na spika kuondoa maneno ya ccm aliendelea sasa kama wao cdm sio lazima.kuunga ya ccm kwa nn yy wamuunge? Acheni ushabiki wa kijinga hapa wala msifikili lissu ni bora zaidi kuliko wengine hata ccm kuna vichwa vinavyofikiri zaidi ya lissu au mnapenda sauti yake tuu? Kama alikuwa na hoja ya msingi na alitaka kuungwa mkono na pande zote asingeanza kubeza upande mwingine, kwani nani hapendi chama chake? Au mnafikiri ccm haina wenyewe? Sasa bila aibu tunasema tupo na tutaendelea kuitetea na kuilinda.
Nyeti ni nini?au ni kiungo gani katika mwili wa binadamu ni nteti?CCM KAMA CHAMA KINA SEHEMU NYETI?Lissu anawapiga magamba sehemu nyeti.
Lusinde kilaza tu, hafiki hata Nusu ya uwezo wa Mr 2 aka Sugu , a.k.a Joseph Mbilinyi , from street to Parliament !