Uendeshaji wa Bunge leo ulijidhalilisha,nasema bunge limejidhalilisha,Spika amejidhalilisha kwa kuwa huwezi kuzuia ukweli kwa uongo na njia haramu zisizo za kikanuni.Kitendo cha kumzimia kipaza sauti msemaji wa upinzani ktk masuala ya sheria bungeni Mh Tundu Lissu ni KUMUOGOPA na KUMUHOFIA katika muktadha wa KUMUAMINI.Wananchi kwa kitendo cha Spika kumzinga na kumzimia mike Lissu wakati akieleza ukweli kuwa kuna njama chafu za Ccm dhidi ya ushindi wa wagombea wa cdm kortini tumeamini kuwa Ukweli Unauma na IMEKOSEKANA MBINU YA KUMDHIBITI LISSU.Nadhani Makinda alisema 'There's no obtion'.Swali_Spika ametumia kanuni ipi kuzima kipasa sauti cha Lissu wakati akiongea? Kama ni siasa Mbona Mwigulu huwa hazimiwi akiwehuka dhidi ya chadema? Kwa nini asingempa adhabu Lissu? NAMTAKA SPIKA AINGIZE KTK KANUNI ADHABU HIYO.Poor udhaifu wa Makinda.