Ukweli ni kwamba Lissu hana chochote zaidi ya kucheza na lugha, nimeshawahi sema tena humu. Lisu ni mjanja katika maneno na siyo katika hoja. na siku zote wajenga hoja hawapendwi. Watu tunashadaia sana mbunge anaposimama na kunena mabaya juu ya chama fulani iwe kwa ukweli ama uongo. Lisu kama mwanaharakati na siyo mwanasiasa lazima aongee kwa style hiyo ni kama ilivyo kwa wengine wengi tu tunaowajua. Kwa mfano Lipumba pale Msikitini (ingawa inasemekana Nchemba ndiyo aliitengeneza Video hiyo) alikuwa anaongea yasiyo mema lakini waliokuwepo pale walikua wanashangilia na kumuona shujaa.
Msimamo wangu utabaki palepale kuwa Lisu no mchezea maneno, populist, mpenda kuonewa huruma na asiweza kusimama mwenyewe kwenye siasa bila kivuli cha mtu mwingine (nacho kwa sasa ni CCM).
Lissu anawapiga magamba sehemu nyeti.
Lissu ni sawa na wabunge 150 wa ccm, kiakili, Personality, Kiuchambuzi ...hebu nitajie mbunge yoyote wa ccm anaemkaribia uwezo huyo jamaa
Hata wewe HAMY-D umeanza kuwa jasiri......maana kumpaisha Lissu ni ''kashfa'' kwa Buku Saba Dirty Inc
Namuonea huruma sana bi Kiroboto, kati ya wanaccm walioipotezea ccm umaarufu kwa kiwango kikubwa ni Viongozi was bunge. Wamekuwa wakionyesha Udhaifu wa wazi kiasi wananchi wanajenga hasira na maamuzi yanayofanywa na viongozi hao.
Kuipa ccm adhabu itakayo waadabisha ni Kusema hapana ccm kwenye sandukua Kura.
Na hilo wameshaliona ndio maana wameanza kulalamikia rasimu ya katiba yenye mawazo ya wananchi sasa wanataka itungwe katiba inayoibeba ccm. Tuseme HAPANA katiba ni ya Watanzania sio ya ccm
Lissu ni sawa na wabunge 150 wa ccm, kiakili, Personality, Kiuchambuzi ...hebu nitajie mbunge yoyote wa ccm anaemkaribia uwezo huyo jamaa
Hata wewe HAMY-D umeanza kuwa jasiri......maana kumpaisha Lissu ni ''kashfa'' kwa Buku Saba Dirty Inc
Na mtu (GAMBA) ukipigwa sehemu nyeti lazima usalimu AMRI!!!!!. Mtu mmoja (LIssu) anavuruga CCM yote nje na ndani ya mbunge. Lissu , Balaaa.Lissu anawapiga magamba sehemu nyeti.
Lissu ni sawa na wabunge 150 wa ccm, kiakili, Personality, Kiuchambuzi ...hebu nitajie mbunge yoyote wa ccm anaemkaribia uwezo huyo jamaa
Mimi ni CCM, ila Lissu namvulia kofia, jamaa ni jembe.
Mimi ni CCM, ila Lissu namvulia kofia, jamaa ni jembe.
Japo Mimi sio mchadema, lkn ndani ya mjengo wa bunge napenda sana kumsikiliza tundu lissu anapotoa Hotuba. Nafikiri kwa sasa yeye ndie messi wa bunge linapokuja suala la kujenga hoja!
Ronaldo akiwa JJ Mnyika.Japo Mimi sio mchadema, lkn ndani ya mjengo wa bunge napenda sana kumsikiliza tundu lissu anapotoa Hotuba. Nafikiri kwa sasa yeye ndie messi wa bunge linapokuja suala la kujenga hoja!
account ya hamy d imeingiliwa