Lissu anyimwa Dhamana, kupelekwa mahakamani kesho

Mi simlaumu Rais hata kidogo, anaongoza nchi yenye 90% vila~za hizo presha za hapo si mchezo.

Alichokisema Lissu sioni uongo hata kidogo, dikteta ni mtu aliyegeuza neno lake kua sheria, ambaye halioni hilo madaktari wa macho wamejaa kila kona, tatizo ni madaktari wa ubongo wachache sana.

Nadhani walikaa wakakubakiana wachachamae kwenye kukamata watu kwa wingi ili ku~induce uoga kwa wananchi, wao wanaita heshima. Ila wamesahau kua heshima sio uoga. Badala ya kuconcentrate kuogopesha watu, wangeconcentrate kuleta maendeleo ya kweli leo hii upinzani wasinge chukuliwa serious, sikuungana na upinzani wakati wa uchaguzi ila sasa hivi ntampa mtu kura yangu ila sio JPM. Kaprove kua hawezi kufanya kazi efficiently, marks nampa 40/100.

Hivi Rais haoni kua wakati kaanza kazi anatumbua majipu watu tulikua tukimuunga mkono, upinzani walifutika fasta mno, toka aanze kushindana na upinzani kapoteza direction sasa wameanza kuonekana wa maana tena. Cha kusikitisha zaidi ni pale ambapo hata nachosema wanaweza kusema nachochea anytime, na kama sina lawyer mzuri ni 7m imekwenda. Hehehe tafuteni njia za kukusanya mapato kihalali sio kuonea watu wasio nazo.
Signature yako kiboko mkuu NP! Ngoja na mimi nijiite nodejs
 
Wewe ndio hujui historia ya mandele hata kidogo acha kujitia unajua usichojua! Unajidai unajua kitu usichojua? Huu ni ujinga wa kiwango cha PhD

Mimi naijua vizuri historia ya Mandela. Huyo 'Mandele' mimi simjui - unamjua wewe.
 
Tattizo ni kwamba Ukiona huna namna ya kutimiza ulichoahidi wananchi wako Jimboni inabidi uingie kwa kiki hii,ili mwisho wa siku urejee kusema kwamba ulikuwa na kesi.
Huu ndio upinzani Uchwara wa Kibongo huko Majimboni kwao wapo Taabani.
 
Back
Top Bottom