Yaani tukome sisi mnaotuletea madokezo ya kuomba hela?Manahangaika sana kwanza mlisema chadema hawawezi fanya mikutano hawana sera sasa mnaleta vihoja.
Mtakojoa dagaa ninyi mafisadi ya ccm.
Mbona sukuma gang mna gubu kiasi hiki ninyi kama vitoto vya vyau.Yaani tukome sisi mnaotuletea madokezo ya kuomba hela?
Au hujui kwamba hata ratiba ya mikutano tumewapa sisi?? Haha ha ha haaa Nyumbu kama Nyumbu
Asije kuanguka akadai magufuli kamvunja tena miguu. Huyu akiongea kama ugomvi sasa hilo jukwaa lazima adondokeππ€£Mimi binafsi huwa simkubali kabisa lissu, lakini kuna usemi unatumika sana unasema adui yako muombe njaa. Lakini hapo hapo wanasema adui yako vitani akiwa na njaa mpe chakula muendelee kupigana.
Leo nimekuja mbele yenu namuombea chakula Lissu, sio chakula hiki tunachokula bali namaanisha namuombea aonewe huruma kwa kinachoendelea. Lissu ametengwa, Lissu anapigana vita peke yake anakaribia kushindwa na kuanguka vibaya mno.
Nawaomba chadema mpeni support ili muendelee kupigana vizuri. Lissu anatia huruma, amenyong'onyea, amekata tamaa
Lissu hana tena support anapopita kufaanya mikutano. Sasa hivi anatumia miti kama majukwaa, hana tena support. Tuliruhusu mikutano ya hadhara ila hatujaruhusu hii minyukano yenu ya ndani kwa ndani.
Angalia hapo kinachoendelea kwa Lissu, je kweli mnakubaliana na hili?
View attachment 2629894View attachment 2629896View attachment 2629897
Jamaa walimfanyia timing ya hatari angewamalizaTuliwaambia mkimalizana na Magufuli mtaanza kumalizana wenyewe kwa wenyewe.
Mwanaume pekee aliyabaki.. asiyenunulika..Mimi binafsi huwa simkubali kabisa lissu, lakini kuna usemi unatumika sana unasema adui yako muombe njaa. Lakini hapo hapo wanasema adui yako vitani akiwa na njaa mpe chakula muendelee kupigana.
Leo nimekuja mbele yenu namuombea chakula Lissu, sio chakula hiki tunachokula bali namaanisha namuombea aonewe huruma kwa kinachoendelea. Lissu ametengwa, Lissu anapigana vita peke yake anakaribia kushindwa na kuanguka vibaya mno.
Nawaomba chadema mpeni support ili muendelee kupigana vizuri. Lissu anatia huruma, amenyong'onyea, amekata tamaa
Lissu hana tena support anapopita kufaanya mikutano. Sasa hivi anatumia miti kama majukwaa, hana tena support. Tuliruhusu mikutano ya hadhara ila hatujaruhusu hii minyukano yenu ya ndani kwa ndani.
Angalia hapo kinachoendelea kwa Lissu, je kweli mnakubaliana na hili?
View attachment 2629894View attachment 2629896View attachment 2629897
πππ ππ
Naamini huu ukweliLissu amemgomea mbowe kuungana nae kwenye ulambaji wa asali.
Lissu ni mpinzani wa kweli sio hao wafata minuso
Ukiendesha mwendokasi kwenye kibao Cha speed limit 50 na usipate madhara haina maana upo sawa...Lissu hakuanguka.
..maana yake jukwaa lilikuwa salama.
Ukiendesha mwendokasi kwenye kibao Cha speed limit 50 na usipate madhara haina maana upo sawa.
255, nafikili unajua maana yake, na kama ndivyo nchi hii kubwa chadema wanatakiwa ongeza chopa 4 ziwe tano ili hii op 255 au op chakaza kukamilika kwa wakati,Hawana mbwembwe hiyo helcopta ni ya nini kwa Mbowe
Akili zako za kipimbi sana aiseeMimi binafsi huwa simkubali kabisa lissu, lakini kuna usemi unatumika sana unasema adui yako muombe njaa. Lakini hapo hapo wanasema adui yako vitani akiwa na njaa mpe chakula muendelee kupigana...
Tundu Antipas Lisu ni Kiongozi wa kitaifa hivyo miundombinu ya maeneo anayofanyia mikutano usalama wake uzingatiwe...
Hapana napinga Lissu hawezi kusaidia watu wapumbavuHivi Lissu ameshindwa kutulia na kuwa mungwana kwa Chuo chake aliposomea sheria kwa kuwasaidia namna ya kuondoa mkwamo kwa wanafunzi wa shule ya Sheria?
Mtakumbuka sakata la Shule hiyo ya sheria la hivi majuzi.
Khaa! technically unaweza kudadavua zaidi?Hapana napinga Lissu hawezi kusaidia watu wapumbavu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah!Mimi binafsi huwa simkubali kabisa lissu, lakini kuna usemi unatumika sana unasema adui yako muombe njaa. Lakini hapo hapo wanasema adui yako vitani akiwa na njaa mpe chakula muendelee kupigana...