Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,504
- 46,549
Sasa huyo si kiongozi mkubwa chamani, kwanini asitengewe fungu kwa ishu kama hizo...Wananchi ndio wamemuandalia jukwaa hilo.
..Wananchi hawana uwezo wa kujenga jukwaa la bei mbaya.
Unajua hii kasumba ndio inasababisha watu wawe wezi wakishapata madaraka. Katiba inasema mtu akitaka kugombea ubunge sharti awe na miaka 21 na kuendelea.muhimu ni ujumbe tu na ukweli usikike , hayo majukwaa ya kifalme ni kule Ccm
Sasa huyo si kiongozi mkubwa chamani, kwanini asitengewe fungu kwa ishu kama hizo.
Na ile afya yake hilo jukwaa mbona ni hatari sana!!
Leo nimekuja mbele yenu namuombea chakula Lissu, sio chakula hiki tunachokula bali namaanisha namuombea aonewe huruma kwa kinachoendelea.
Hadi huruma,kuna mtu kaonyesha kuwa Mpiga picha wake sio ramsi,anatumia simu.
Jukwaa likianguka na akapata madhara ni faida ya nani sasa hiyo??..inawezekana kujengewa jukwaa la thamani.
..chama pia kingeweza kuwapa wananchi t-shirt, kofia, kanga, ili waonekane nadhifu ktk mkutano.
..lakini tutakuwa tunaficha hali halisi ya kiuchumi ya wananchi wa eneo alilohutubia Tundu Lissu.
..mkutano wa Lissu na muonekano wa hilo jukwaa ni SOMO ambalo nadhani limewapita wachangiaji wengi.
..kuna umasikini mkubwa hapa nchini, na CCM imewatekeleza wananchi. Majuzi tuliambiwa Tanzania iko UCHUMI WA KATI.
Kama ilivyo mmaliza yeye mwenyeweLaana ya kumsema sema vibaya Magufuli itawamaliza tu
Yeye Magufuli imemmaliza nini? Hivi nyie mnavyojua eti kifo cha Magufuli ilikuwa hukumu ya Mwenyezi Mungu dhidi yake kwa ajili yenu ipo siku hii kauli mtaijutia kwa kifo kulikuwa haki ya Magufuli tu je hawa watu wengine hadi watoto wachanga waliokufa walikuwa na dhambi gani? Hadi wafe au waliwakosea nini chadema au mlifikiri ukiwa chadema hutakufa hata wewe unaandika huu uchafu ipo siku utaondokaKama ilivyo mmaliza yeye mwenyewe
Jukwaa likianguka na akapata madhara ni faida ya nani sasa hiyo??
Hadi hao walinzi wake wamelishikilia jukwaa akipanda means ni tia maji tia maji.
Chadema waache hizo, basi hata angepanda juu ya meza.
Na hii ni kwa usalama wake tu.
Yeye Magufuli imemmaliza nini? Hivi nyie mnavyojua eti kifo cha Magufuli ilikuwa hukumu ya Mwenyezi Mungu dhidi yake kwa ajili yenu ipo siku hii kauli mtaijutia kwa kifo kulikuwa haki ya Magufuli tu je hawa watu wengine hadi watoto wachanga waliokufa walikuwa na dhambi gani? Hadi wafe au waliwakosea nini chadema au mlifikiri ukiwa chadema hutakufa hata wewe unaandika huu uchafu ipo siku utaondoka
maccm bwana kwani jukwaa ndo chakula? kikubwa ni ujumbe kufikaTundu Antipas Lisu ni Kiongozi wa kitaifa hivyo miundombinu ya maeneo anayofanyia mikutano usalama wake uzingatiwe
Kuna picha nimeona huko twitter Tundu Antipas Lisu akihutubia Mkutano akiwa kwenye jukwaa mfano wa Kichanja cha kupigia Mahindi wakati wa Mavuno yaani mimesikitika mno
Natoa tu angalizo kwenu nyie akina Pambalu na Mwaipaya
Nawatakia Dominica Njema!
Ehee! Na wewe ndo uachega kuhukumu wengine kwani wewe sio mungu! Hukumu ya haki anayo mungu tu. Huna kibari chochote Cha kumuhukumu lissu.Yeye Magufuli imemmaliza nini? Hivi nyie mnavyojua eti kifo cha Magufuli ilikuwa hukumu ya Mwenyezi Mungu dhidi yake kwa ajili yenu ipo siku hii kauli mtaijutia kwa kifo kulikuwa haki ya Magufuli tu je hawa watu wengine hadi watoto wachanga waliokufa walikuwa na dhambi gani? Hadi wafe au waliwakosea nini chadema au mlifikiri ukiwa chadema hutakufa hata wewe unaandika huu uchafu ipo siku utaondoka
🤣🤣🤣Hao mabodyguard wanalinda nn sasa wakat jukwaa lenyewe ni threat tosha
Manahangaika sana kwanza mlisema chadema hawawezi fanya mikutano hawana sera sasa mnaleta vihoja.Mimi binafsi huwa simkubali kabisa lissu, lakini kuna usemi unatumika sana unasema adui yako muombe njaa. Lakini hapo hapo wanasema adui yako vitani akiwa na njaa mpe chakula muendelee kupigana.
Leo nimekuja mbele yenu namuombea chakula Lissu, sio chakula hiki tunachokula bali namaanisha namuombea aonewe huruma kwa kinachoendelea. Lissu ametengwa, Lissu anapigana vita peke yake anakaribia kushindwa na kuanguka vibaya mno.
Nawaomba chadema mpeni support ili muendelee kupigana vizuri. Lissu anatia huruma, amenyong'onyea, amekata tamaa
Lissu hana tena support anapopita kufaanya mikutano. Sasa hivi anatumia miti kama majukwaa, hana tena support. Tuliruhusu mikutano ya hadhara ila hatujaruhusu hii minyukano yenu ya ndani kwa ndani.
Angalia hapo kinachoendelea kwa Lissu, je kweli mnakubaliana na hili?
View attachment 2629894View attachment 2629896View attachment 2629897
Unayaona majukwaa ya Mungu wenu Mbowe?muhimu ni ujumbe tu na ukweli usikike , hayo majukwaa ya kifalme ni kule Ccm
Jukwaa la mwenyekiti wako na mgombea wa urais mzee wa ubwabwa likoje?Kwa mara ya kwanza nakuunga mkono
Ilipaswa wawe na uwiano sawa wa vitendea kazi maeneo watakayo hutubia
Ukiangalia mwamba yeye kajichagulia maeneo yenye wafuasi wengi na kambi za cdm
Ingelipendeza majukwaa na menyewe yaendane na hadhi ya mtu atakayelitumia
Makamo mwenyekiti na alikuwa mgombea urais kweli jukwaa Hilo kweli ?