Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,484
- 34,223
Mbowe mbona anatumia ya kifalme?muhimu ni ujumbe tu na ukweli usikike , hayo majukwaa ya kifalme ni kule Ccm
Lissu ajiangalie jukwaa gani hilo!Mbowe mbona anatumia ya kifalme?
WamemtengaLissu ajiangalie jukwaa gani hilo!
Erythrocyte kwa nini mnaacha watu wanafanya uhuni kama huu kwa Lissu? Au mnataka kumuua?Mimi binafsi huwa simkubali kabisa lissu, lakini kuna usemi unatumika sana unasema adui yako muombe njaa. Lakini hapo hapo wanasema adui yako vitani akiwa na njaa mpe chakula muendelee kupigana...
Hivi Lissu ameshindwa kutulia na kuwa mungwana kwa Chuo chake aliposomea sheria kwa kuwasaidia namna ya kuondoa mkwamo kwa wanafunzi wa shule ya Sheria?Wamemtenga
Huwa sishiriki nyuzi za kijingaErythrocyte njoo huku. Hali Tete.