Halafu mzee Warioba alikuwa anasema "tume itafanya maamuzi magumu" huu ni ujinga na umburula wa hali ya juu! Chadema tutoke tu!
Nasubiri nione serikali jinsi itakavyotoa utetezi kwenye moja ya kifungu cha pesa kilichoombwa na tume ya kupokea maoni ya wananchi kuhusu katiba,kwa ajili ya kuhudumia wajumbe watakaoathirika na virusi vya ukimwi wakati wakiwa katika kazi ya kupokea maoni.
Kwani hivi virusi vya ukimwi vimeanza kuambukizwa kwa njia ya hewa au kusalimiana?
Halafu mzee Warioba alikuwa anasema "tume itafanya maamuzi magumu" huu ni ujinga na umburula wa hali ya juu! Chadema tutoke tu!