Lissu ameanza kutema cheche

Lissu ameanza kutema cheche

Status
Not open for further replies.
Wamekata umeme huku kwetu. Sijajua kama TANESCO wamo katika hujuma ya mchakato wa katiba mpya.
 
Mpwa Mpwa wangu muogope Mola......
Vijana wa bavicha kweli hamna nidhamu. Mpaka mzee Warioba mnamtupia matusi namna hii!!!

Mzee Warioba na utumishi wake uliotukuka wa miaka mingi ni mtu anayeheshimika sana duniani. Bavicha jifunzeni adabu...
 
Asha rose migiro ahusishwa na tuhuma za uchakachuajitwa tume ya katiba kuipendelea ccm
Yeap, Lissu anasema walinasa barua iliyoandaliwa na Asha Rose Migiro ikielezea namna watakavyohujumu mabaraza ya katiba, tarehe 3, march 2013.
 
Watamtetea kwamba ana-exposure ya kimataifa. Hivyo mchango wake ulihitajika.
 
Mama Makinda kawa mpoleeeeeee, Lisu kammaliza kabisaaaaaa anaongea kwa upole sana maana Lisu kawamwagia maji...nyooo siasa si hasa!!!!!

Asha rose atangazwe kimataifa kama adui namba moja wa Tanzania kuhujumu kupatikana kwa katiba ya wananchi ya huru na haki.
 
Lissu ni mwalimu, mshauri ,mpambanaji na kiona mbali......Magambani sijaona wakufanana nae
 
Hawa TANESCO mbona wanakata umeme ghafla namna hii??
 
Vijana wa bavicha kweli hamna nidhamu. Mpaka mzee Warioba mnamtupia matusi namna hii!!!

Mzee Warioba na utumishi wake uliotukuka wa miaka mingi ni mtu anayeheshimika sana duniani. Bavicha jifunzeni adabu...
CDM ni zaidi ya usalama wa Taifa au mpaka wakuambie wewe utapata shs ngapi Lumumba leo ndio uamini nyambaf
 
Imebainika kwamba wajumbe wanaoshiriki mchakato wa katiba mpya wote wameathirika na virusi vya vvu(ukimwi)
 
Kuna mbunge anachangia sasa hivi anasema anamshangaa msemaji wa kambi rasmi ya chadema bungeni kuhusu masuala ya katiba tundu lissu kupotosha umaa kuhusu wajumbe wa tume ya katiba
 
Anaongea sasa Jasson Rweikiza, anasema wananchi wote wametoa maoni, anaongea akibabaika babaika huku akisema Lissu amebuni posho pasipo yeye kusema posho halisi ni zipi,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom