Lissu ameanza kutema cheche

Lissu ameanza kutema cheche

Status
Not open for further replies.
mkuu, tujuze aise, kamanda anasemaji hapo kwa mjengo!
 
Tunasubiria huo mtifuano wa kikanuni kati Makinda na kundi lake la kina Lukuvi na kwa upande wa Lissu hata kama ni peke yake anawamdu hao wote
 
kamanda anamwaga sumu juu ya ulaji wa tume ya katiba....
 
Lisu anatosha kupambana na magamba 50!!!!!!!!!!! Tehe teheeee
 
Spika amemkatalia muda huu kumkompesha Tundu Lisu muda uliobaki wa kamati ya sheria amemkatalia ila jana wamekopeshana kweli kuwabana wapinzani ivo ndo kuwamaliza au kujimaliza CCM?
 
usomeki mzee ufafanuzi jambo la muhimu sana
 
nasikiliza hapa kupitia arusha mambo
anaongelea mambo ya posho kwenye tume ya katiba
 
Magamba yote yapo kimya kwani Mh. Lissu anahoji matumizi ya kifisadi ya tume ya Katiba mpya.
 
Ameanza lissu na tume ya katiba kuna ela inaliwa kwa kuongeza wajumbe wanne bila sheria kueleza inatakujua sh.bil1.3 inayoombwa n tume kwa mwezi mmoja tu kama posho
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom