CAGvsSPEAKER
JF-Expert Member
- May 16, 2019
- 1,339
- 5,044
WAPUMBAVU,MALOFA.Mh Lissu ameendelea kufanya juhudi za kukiimarisha chama cha CHADEMA huko ulaya.
Hongera sana mkombozi wa wanyonge wa TanzaniaView attachment 1242785
WAPUMBAVU,MALOFA.Mh Lissu ameendelea kufanya juhudi za kukiimarisha chama cha CHADEMA huko ulaya.
Hongera sana mkombozi wa wanyonge wa TanzaniaView attachment 1242785
Nalihaya nakulye ulihe?No mayo wako
Kuna tusi hapo? Mimi natongoza naweza pata kitu kizuri toka kwa dada yangu!Sasa matusi yanahusika vipi na huu uzi?
Kama umeishiwa hoja kaakando
Waliorejesha betri ya muzee mukuluMabeberu wapi hao hao wanao tusaidia panadol?
Hahahahahaaa! Huwa wanajidai hawaoni. Nasisitiza ni ARV siyo AVR!Pia wanatusaidia sana ARV
Halafu wengine wamekatwa miguu wamebaki wanatembelea visigino na wala mimi sijasema.Walikwenda ughaibuni kutibiwa wakarudishwa kama mizigo
Afya ni zawadi toka kwa Mola tusidhiaki wagonjwa Leo unaweza ukapiga pushup kama dhihaka kesho hata mguu usiinue.Walikwenda wamekaaa kwenye siti wakiwa wazima wakarudi kwenye buti ya ndege wamelala.Walikwenda ughaibuni kutibiwa wakarudishwa kama mizigo
Macho uumbwa na aibu wamefanya kila figisu yasiwepo mazingira yeyeto ya kuonana macho kwa macho sababu ya aibu sehemu pekee ilikuwa ni bungeni,ikabidi nafasi yake apewe mbunge wa viti maalumu.Kuna viumbe wakimuona huyu jamaa wanakosa furaha kwa ghafla sana. Wanabaki wamekalia kalio moja kama wanatazama muvi ya kutisha sana. Go... Go Lissu, go!
Mkuu, ulichokieleza kama wapo wale majahili walomtenda Lissu na sehemu ya akili inafanya kazi kwa uzuri wataona aibu ya dunia.Macho uumbwa na aibu wamefanya kila figisu yasiwepo mazingira yeyeto ya kuonana macho kwa macho sababu ya aibu sehemu pekee ilikuwa ni bungeni,ikabidi nafasi yake apewe mbunge wa viti maalumu.
[emoji16]Hivi Mabeberu yatakuja kupiga kura Tanzania?
Ruzuku za chama zinatafunwa na watu wachache aise
Hakika hatutakiwi kuwadhihaki wenzetu kisa tofauti za kiitikadi maana hakuna aijuwaye kesho yakeAfya ni zawadi toka kwa Mola tusidhiaki wagonjwa Leo unaweza ukapiga pushup kama dhihaka kesho hata mguu usiinue.Walikwenda wamekaaa kwenye siti wakiwa wazima wakarudi kwenye buti ya ndege wamelala.
Naomba ufafanuzi hapo Airport ni namna gani wanyonge wa Tanzania wanakombolewa na lissu?
Wanajiona kama wao ndiyo mungu wa dunia[emoji16] View attachment 1243172