Lissu aendelea kuiimarisha CHADEMA duniani

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,265
Reaction score
98,318
Mh Lissu ameendelea kufanya juhudi za kukiimarisha chama cha CHADEMA huko ulaya.

Hongera sana mkombozi wa wanyonge wa Tanzania
Screenshot_20191024-102242.jpeg
 
Huko nyumbani Tanzania cyprian Musiba Joseph yona Le mutuz wanamtumia Tundu Lisu kama kitegeuchumi cha kula pesa za CCM , wameandaa Bajeti kubwa wamepewa mabilioni kwa kazi ya kutengeneza propaganda kibao za kumchafua Tundu Lisu , ni kipato haramu sana, hivyo vijamaa vinakula pesa za CCM kwa kazi hiyo
 
Mkuu umesahau kuwa cha mlevi uliwa na mgema?
Huko nyumbani Tanzania cyprian Musiba Joseph yona Le mutuz wanamtumia Tundu Lisu kama kitegeuchumi cha kula pesa za CCM , wameandaa Bajeti kubwa wamepewa mabilioni kwa kazi ya kutengeneza propaganda kibao za kumchafua Tundu Lisu , ni kipato haramu sana, hivyo vijamaa vinakula pesa za CCM kwa kazi hiyo
 
Le mutuz akikosa pesa za kuhonga wanawake maana ni mdhaifu hakuna mfano Duniani, akikosa pesa kitu cha kwanza hubuni jinsi ya kumchafua Tundu lisu na kupeleka CCM makao makuu anapewa cash anarejea kuponda raha na wanawake, pesa zake zote zinapotekea Guest house ndiyo maana hana maendeleo kabsa
 
Anaimarisha vipi check huyo Mzungu kamchunia na kamwekea kibao kabisa kuwa wewe don't step in here.Au hicho kibao hukioni mzungu kukufukuza hakwambii toka anakuwekea kibao tu.Hapo Tundu kagwaya na kingereza chake aibu imembana na kikofia chake
 
Huko nyumbani Tanzania cyprian Musiba Joseph yona Le mutuz wanamtumia Tundu Lisu kama kitegeuchumi cha kula pesa za CCM , wameandaa Bajeti kubwa wamepewa mabilioni kwa kazi ya kutengeneza propaganda kibao za kumchafua Tundu Lisu , ni kipato haramu sana, hivyo vijamaa vinakula pesa za CCM kwa kazi hiyo
Lisu ni taasisi ,taasisi hua nilazima iajiri.
 
Back
Top Bottom