Lissu aendelea kuiimarisha CHADEMA duniani

Lissu aendelea kuiimarisha CHADEMA duniani

Mzee wetu mstaafu pale kapata garasa
Le mutuz akikosa pesa za kuhonga wanawake maana ni mdhaifu hakuna mfano Duniani, akikosa pesa kitu cha kwanza hubuni jinsi ya kumchafua Tundu lisu na kupeleka CCM makao makuu anapewa cash anarejea kuponda raha na wanawake, pesa zake zote zinapotekea Guest house ndiyo maana hana maendeleo kabsa
 
Tatizo lako safari zako wewe ni dodoma to kibaigwa tu
Anaimarisha vipi check huyo Mzungu kamchunia na kamwekea kibao kabisa kuwa wewe don't step in here.Au hicho kibao hukioni mzungu kukufukuza hakwambii toka anakuwekea kibao tu.Hapo Tundu kagwaya na kingereza chake
 
Nakuonea huruma wewe mfagizi wa lumumba
Viva wapi mzungu mwanaume mwenye ofisi kamshit Tundu lisu anaongea na mzungu mwenzie mwanamke haongei na mswahili Tundu lisu
 
Naomba ufafanuzi hapo Airport ni namna gani wanyonge wa Tanzania wanakombolewa na lissu?
 
Tuwe makini na majina tunayowapa watoto jamani... Tundu_tukutu,tobo,
....Tabu_
.....Shida_
.....Machozi.
Mmmh,ngumu sana hii.
 
Shujaa huchagua kufia kwao mpumbavu huzungusha tumbo lake kwenye macho ya mabeberu

R.I.P Gadafi
 
sasa huo si ndo utaahila yani anaiimarisha dunian wakati ndai ya nchi bado inalegalega
 
Bila shaka atapata wafuasi wengine milioni 80 kama wale aliowapata baada ya kuhojiwa hard talk.

Jumla watakuwa milioni 160, hapo wakimpigia kura wafuasi milion 80 tayari yupo Ikulu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Le mutuz akikosa pesa za kuhonga wanawake maana ni mdhaifu hakuna mfano Duniani, akikosa pesa kitu cha kwanza hubuni jinsi ya kumchafua Tundu lisu na kupeleka CCM makao makuu anapewa cash anarejea kuponda raha na wanawake, pesa zake zote zinapotekea Guest house ndiyo maana hana maendeleo kabsa
Kwa nini ulikubali akupige cha mkwezi buree, fungua kesi!
 
Tatizo lako safari zako wewe ni dodoma to kibaigwa tu
Wewe watu tumesafiri hata hotel za kawaida Kama hutaki mtu aingie chumbani kwako unamuwekea kibao Cha don't disturb.Tundu Lisu keshawrkewa hicho Cha don't step in here Happ ukimtazama anasubiri huyo.mwanamke anayeongea na mzumgu aondoke ili yeye atoke mbio kwani mlango wa kuingilia upo hapo aliposimama huyo mwanamke.kadhalilika barabara.
 
uimarishaji wa kijinga wa mpumbavu mmoja anayetukana nchi ni utaahira huyo ni wakala wa mashoga tu hajui siasa
 
Anajilipia maana uwezo wa kujihudumia anao,
Vinginevyo mlivyo kataa kumuhudumia angesha kufa
Juzi alitweet 'msilipe ubaya kwa ubaya' alikua ana maana gani mkombozi wetu?
 
Huko nyumbani Tanzania cyprian Musiba Joseph yona Le mutuz wanamtumia Tundu Lisu kama kitegeuchumi cha kula pesa za CCM , wameandaa Bajeti kubwa wamepewa mabilioni kwa kazi ya kutengeneza propaganda kibao za kumchafua Tundu Lisu , ni kipato haramu sana, hivyo vijamaa vinakula pesa za CCM kwa kazi hiyo
'Kufa kufaana'
 
Le mutuz akikosa pesa za kuhonga wanawake maana ni mdhaifu hakuna mfano Duniani, akikosa pesa kitu cha kwanza hubuni jinsi ya kumchafua Tundu lisu na kupeleka CCM makao makuu anapewa cash anarejea kuponda raha na wanawake, pesa zake zote zinapotekea Guest house ndiyo maana hana maendeleo kabsa


😅😅😅na anavyopenda sasa mademu ova anawezea mambo😅😅!
 
Back
Top Bottom