minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 23,557
- 22,561
Acha uzushi wa kishamba shamba wewe picha ipi hapo wala hakuna kitu kama hicho huko usizani chuki zako binafsi zinapenya huko, hao wapo kazini ulitaka waache kazi waanze kujichekea tu? Ebu jaribu kuficha chuki zako kidogo usiwe kama Joseph yona na cyprian Musiba wenye chuki za kulipwa na CCMAnaimarisha vipi check huyo Mzungu kamchunia na kamwekea kibao kabisa kuwa wewe don't step in here.Au hicho kibao hukioni mzungu kukufukuza hakwambii toka anakuwekea kibao tu.Hapo Tundu kagwaya na kingereza chake aibu imembana na kikofia chake