Lissu aendelea kuiimarisha CHADEMA duniani

Lissu aendelea kuiimarisha CHADEMA duniani

Macho uumbwa na aibu wamefanya kila figisu yasiwepo mazingira yeyeto ya kuonana macho kwa macho sababu ya aibu sehemu pekee ilikuwa ni bungeni,ikabidi nafasi yake apewe mbunge wa viti maalumu.
Wanasahau kuwa mwenye haki ya kutoa uhai wa kiumbe ni manani tu
 
Wakati mwingine wafuasi wa Chadema chama mnakiua wenyewe huwezi kuleta habari za kuimarisha Chadema Ulaya wakati wapiga kura wako huku.
Kumbe mnapokuwa mnazunguka nchi nzima mnakuwa mnapiga kura siyo kuimarisha chama?
 
Back
Top Bottom