Mr Tyang
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 1,728
- 6,803
Wewe hujui lolote maumivu aliyoyapata Tundu lissu unaeza yalinganisha na Dr. Olimboka ya kung'olewa meno na kucha bila ganzi?Kwahiyo unaumia Lissu akiwaeleza watanzania namna alivyoshambuliwa kwa risasi? Huu ni ushuhuda hata kwa vizazi vijavyo kuepuka Vitendo vya kinyama alivyofanyiwa Mh.TL
Siku zote Mwanaume halisi hatakiwi kulialia hata Kama kapatwa na matatizo maana huo ndo uanaume wenyewe.