Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 82,134
- 159,017
Hahahaaaa! Vyakula vya watoto huwa ni vitamu sijui kwanini wao huwa hawavipendi.Mihogo ya sukari na nazi....nimepika jana so sweet
Namna ya kuandaa
. Menya mihogo, ikate katikati kutoa ule uzi
. Ichemshe na maji tu hadi iive ilainike
. Maji yakikauka katia kitunguu nusu, hoho kipande kidogo, mafuta kijiko kimoja cha chakula, kwangulia carrot, weka sukari na tui la nazi acha ichemke
. Nazi ikibaki kidogo, koroga koroga ili iwe rojo
Msosi upo tayari kwa kuliwa. Ni tamu hiyo bad luck mwanangu aligoma kula nikala mwenyewe chote nikamaliza