My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,335
Halafu eti Magufuli anajiita mcha Mungu,jamaa mnafiki huyu hata shetani huwa anamshangaaMkurugenzi mstaafu wa Tume HURU ya uchaguzi ya Tanzania , Kailima
Halafu eti Magufuli anajiita mcha Mungu,jamaa mnafiki huyu hata shetani huwa anamshangaaMkurugenzi mstaafu wa Tume HURU ya uchaguzi ya Tanzania , Kailima
Ni NAIBU KATIBU MKUUSasa hivi ni katibu mkuu sijui wizara ya mambo ya nje kama sijakosea ila sina uhakika sana wacha waje wajuzi
asante mkuuNi NAIBU KATIBU MKUU
Wizara ya Mambo ya Ndani
Waziri: Kangi Lugola
Katibu Mkuu; Major General Kingu
Naibu KM: Ramadhan Kailima