Lisemwalo lipo

Lisemwalo lipo

Mkurugenzi mstaafu wa Tume HURU ya uchaguzi ya Tanzania , Kailima
Nilijiuliza kwanini kuna watu wanatamani mitandao ya kijamii ifungwe sikupata jibu sasa taratiiiiibu naanza kupata majawabu. Asante teknolojia
 
Hivi emekula shavu gani kwasasa?
Daahh nikikumbuka uchaguzi wa Kinondoni namkumbuka bint Aqwilina.
 
KAILIMA-RAMA.jpg

Nimejaribu sijui kama ni kweli
Hahaha umemkuta mzee baba muofisi hahaha huyu huyu " tume inafanya kazi kwa mujibu wa katiba, sheria, kanuni na taratibu za uchaguzi" mmhhhh.
 
Back
Top Bottom