Nani anam blackmail sasa!Hivi mnamkumbuka Lamwai?
mnamkumbuka alivyokuwa anaikosesha usingizi serikali ya Mkapa?
halafu siku moja tukasikia 'ameenda kumuomba Mkapa radhi hadharani'?
na picha zikatoka kwenye magazeti akiomba radhi?
mwisho akapewa ubunge....?
Mpaka leo huwa bado namkumbuka Lamwai....alibanwa kila njia hadi 'akasalimu amri'
Baada ya kuona leo Lipumba yuko na polisi lakini body language yake na sura yake
ni kama 'anapokea tu maagizo'
kama anayoyafanya 'hayako moyoni'
Nimejiuliza isije kuwa yuko 'blackmailed'?
Watu wakiwa 'blackmailed' hufanya jambo kinyume na utashi wa roho yake....kwa kuhofia
tu akikataa 'watamkomesha'
Lipumba sio mtu wa kukusanywa na kina Kambaya na kupewa tu maagizo fanyeni hiki
Lipumba shughuli zake za kiuchumi anahitajika dunia nzima...
inakuaje leo anakusanywa na watu wa kukodi kwenda kuharibu mkutano?
kuna nini?
Hata yeye Lipumba ukimtazama sura ni kama yuko way uncomfortable kabisa na kinachoendelea
lakini ndo 'hana jinsi' inabidi 'awatii' 'the people behind' ili tu 'wasimkomeshe...
Tusije kuwa tunamlaumu 'the victim' tu hapa.....
Mkuu hawa wana CCM sijui huwa wanatumiaga sumu gani... Nikikumbuka Kikwete alivyofanikiwa kuteka akili ya Dr. Slaa acha kabisa! Lipumba mbona cha mtoto?? Imagine Dr Slaa alivyokuwa anampinga Kikwete lakini mwisho wa siku akampakata kwa pani aisee!!!
Kusoma hujui, hata picha huoni? Au ni kwa sababu ya kuvaa miwani ya mbao?Nani anam blackmail sasa!
It was just a good timing intacts, Dr Slaa pschologically alikuwa affected kwa kitendo cha LOWASSA kuingia CHADEMA , isitoshe kama mgombea. Dr alitoka mbali na CHADEMA. CCM waliheat moyo wa Dr SLAA at the right time.Mkuu hawa wana CCM sijui huwa wanatumiaga sumu gani... Nikikumbuka Kikwete alivyofanikiwa kuteka akili ya Dr. Slaa acha kabisa! Lipumba mbona cha mtoto?? Imagine Dr Slaa alivyokuwa anampinga Kikwete lakini mwisho wa siku akampakata kwa pani aisee!!!
noted !Ukipewa kazi na 'systeam' ni lazima uimalize la sivyo una malizwa wewe.
Kwani kazi ya POLISI ni nini?Wanaompa maagizo
huoni alikuwa analindwa na polisi?
jiulize polisi wanawezaje kumlinda mtu bila 'amri kutoka mamlaka ya juu'?
Dhambi ya usaliti ndio inayomtesaHivi mnamkumbuka Lamwai?
Mnamkumbuka alivyokuwa anaikosesha usingizi serikali ya Mkapa?
halafu siku moja tukasikia 'ameenda kumuomba Mkapa radhi hadharani'?
na picha zikatoka kwenye magazeti akiomba radhi?
mwisho akapewa ubunge....?
Mpaka leo huwa bado namkumbuka Lamwai....alibanwa kila njia hadi 'akasalimu amri'
Baada ya kuona leo Lipumba yuko na polisi lakini body language yake na sura yake ni kama 'anapokea tu maagizo' kama anayoyafanya 'hayako moyoni'
Nimejiuliza isije kuwa yuko 'blackmailed'?
Watu wakiwa 'blackmailed' hufanya jambo kinyume na utashi wa roho yake....kwa kuhofia tu akikataa 'watamkomesha'
Lipumba sio mtu wa kukusanywa na kina Kambaya na kupewa tu maagizo fanyeni hiki.
Lipumba shughuli zake za kiuchumi anahitajika dunia nzima.
Inakuaje leo anakusanywa na watu wa kukodi kwenda kuharibu mkutano?
kuna nini?
Hata yeye Lipumba ukimtazama sura ni kama yuko way uncomfortable kabisa na kinachoendelea lakini ndo 'hana jinsi' inabidi 'awatii' 'the people behind' ili tu 'wasimkomeshe.
Tusije kuwa tunamlaumu 'the victim' tu hapa.
Kumbuka kuwa yeye ndiye aliyemkaribisha na sisi tuliokuwepo tunajua kila kitu.. Swali la kujiuliza ni kwanini baada tu ya kumaliza huo mpango akasaliti?It was just a good timing intacts, Dr Slaa pschologically alikuwa affected kwa kitendo cha LOWASSA kuingia CHADEMA , isitoshe kama mgombea. Dr alitoka mbali na CHADEMA. CCM waliheat moyo wa Dr SLAA at the right time.
Mkuu The Boss, hakuna blackmail yoyote bali amejichanganya tuu kwa kupagawa baada ya lile fungu kuisha.Hivi mnamkumbuka Lamwai?
Mnamkumbuka alivyokuwa anaikosesha usingizi serikali ya Mkapa?
halafu siku moja tukasikia 'ameenda kumuomba Mkapa radhi hadharani'?
na picha zikatoka kwenye magazeti akiomba radhi?
mwisho akapewa ubunge....?
Mpaka leo huwa bado namkumbuka Lamwai....alibanwa kila njia hadi 'akasalimu amri'
Baada ya kuona leo Lipumba yuko na polisi lakini body language yake na sura yake ni kama 'anapokea tu maagizo' kama anayoyafanya 'hayako moyoni'
Nimejiuliza isije kuwa yuko 'blackmailed'?
Watu wakiwa 'blackmailed' hufanya jambo kinyume na utashi wa roho yake....kwa kuhofia tu akikataa 'watamkomesha'
Lipumba sio mtu wa kukusanywa na kina Kambaya na kupewa tu maagizo fanyeni hiki.
Lipumba shughuli zake za kiuchumi anahitajika dunia nzima.
Inakuaje leo anakusanywa na watu wa kukodi kwenda kuharibu mkutano?
kuna nini?
Hata yeye Lipumba ukimtazama sura ni kama yuko way uncomfortable kabisa na kinachoendelea lakini ndo 'hana jinsi' inabidi 'awatii' 'the people behind' ili tu 'wasimkomeshe.
Tusije kuwa tunamlaumu 'the victim' tu hapa.
Zaidi ya haya sifahamu kitu mkuu.Kumbuka kuwa yeye ndiye aliyemkaribisha na sisi tuliokuwepo tunajua kila kitu.. Swali la kujiuliza ni kwanini baada tu ya kumaliza huo mpango akasaliti?
Pasko umenena VEMAMkuu The Boss, hakuna blackmail yoyote bali amejichanganya tuu kwa kupagawa baada ya lile fungu kuisha.
Prof. Lipumba japo kitaaluma ni mchumi, ila kiukweli he is a politician by professional, ameifanya siasa ndio ajira yake ya kudumu na hana shughuli nyingine yoyote ya kufanya, au jambo jingine lolote la kufanya ili kuendesha maisha kama yule dr mihogo!.
Mtu amegombea mara 4 na zote amekataliwa hakuwahi kupata hata asilimia 5% lakini kila baada ya miaka 5 lazima awe mgombea wa CUF hadi kufikia yeye na sharubu kujihesabu wao ndio wagombea pekee wa kudumu wa CUF kwenye urais, ndio maana kuliko kukosa kugombea, bora apokee kile kidogodogo cha CCM, na kujitoa ili CUF ivunjike!, kajitoa, CUF haikuvunjika!, fungu alilopewa ni kiduchu tuu!, afadhali mwenzake kapewa mkataba mrefu, yeye fungu limeishamuishia na hana namna nyingine yoyote ya kuendesha maisha yake!.
Sasa CUF wasipomrudisha atafanya nini kingine?!, kwa sababu ubunge au udiwani hawezi kupata kwa sababu hachaguliki!, unategemea nini kwa mtu kama huyu?!, hivyo juhudi zote unazoziona za kumrejesha ni kwa sababu he has nothing else to do.
Ninawaomba CUF please mrudisheni tuu Prof. Lipumba kwenye nafasi yake vinginevyo atapata psychological depression na hatimaye kuja...
Pasco
Hapa unanikumbusha tu mambo ya Don Corleone ,"
EVERYONE HAS A PRICE" TRUST ME. there is an offer most people can not deny"