Lipumba atunukiwa Nishani ya kuhamasisha Amani

Status
Not open for further replies.
Prof anadeserve hii tunzo, mlitaka apewe mwizi wa wake za watu? go go prof,

Huku wanachama na wafuasi wake waki faidi mateso ya kutetea gesi Mtwara. Ama kweli u-Prof wake unatia shaka. Ukisha kuwa M-LIBERAL lazima ukubaliana na masharti.
 
Huwa nachukizwa sana anapotajwa lipumba na cuf kisha nikaona uislam wangu unatajwa tajwa,nachukizwa sana na hali hiyo??
Watu ifikie hatua sasa wajaribu kuuacha uislam sehemu yake na wanasiasa sehemu yake,unless otherwise tutasababisha mpasuko m-baya sana kwenye jamii hii....
 
Akili za watawala wetu na mawazo yao yako kulia kuelekea kushoto ama hamnazo kabisa.
 
Huwa nachukizwa sana anapotajwa lipumba na cuf kisha nikaona uislam wangu unatajwa tajwa,nachukizwa sana na hali hiyo??
Watu ifikie hatua sasa wajaribu kuuacha uislam sehemu yake na wanasiasa sehemu yake,unless otherwise tutasababisha mpasuko m-baya sana kwenye jamii hii....

Ni kweli Mkuu. Kama ni kweli, unadhani ni kwanini inakuwa hivyo? Hebu tupe maoni yako.
 
Hii inaitwa kaa kimya profesa kama mke huna pia tutamtafuta kama huna mshahara tutakupa pia..... Hakika prof hana maana tena hata mkapa alishawahi kusema kuna maprofesa uchwara wengi nanhuyu yumo, yaani kipigo kile cha CUF na jeshi lile lile unakubalinkupojea tuzo ya amani, hii ni tuzo ya amani kwa kukubali kupigwa?
 
Huwa nachukizwa sana anapotajwa lipumba na cuf kisha nikaona uislam wangu unatajwa tajwa,nachukizwa sana na hali hiyo??
Watu ifikie hatua sasa wajaribu kuuacha uislam sehemu yake na wanasiasa sehemu yake,unless otherwise tutasababisha mpasuko m-baya sana kwenye jamii hii....

Muhimu ni kuwavua hao wahusika majoho na kanzu walizojivika na hata ikibidi watengwe kabisa vinginevyo watasambaza uchafu wao kila mahali
 
Huwa nachukizwa sana anapotajwa lipumba na cuf kisha nikaona uislam wangu unatajwa tajwa,nachukizwa sana na hali hiyo??
Watu ifikie hatua sasa wajaribu kuuacha uislam sehemu yake na wanasiasa sehemu yake,unless otherwise tutasababisha mpasuko m-baya sana kwenye jamii hii....

Kiongozi!

Jamaa kesha lishwa YAMINI kiasi kwamba u-Prof wake umekuwa kama ujinga fulani hivi. Kiasi kwamba ameamua kuto kuto kutambua wale wanao teseka kule Mtwara kwa kupigania rasilimali zao.
Akija Mtwara ni wa kupiga mawe tu, hana lolote zaidi ya kujikomba. Usije shangaa kesho kuteuliwa kuwa MBUNGE WA KUTEULIWA (Viti Maalum U-LIBERAL kama Mbatia).
 
Nimeona kwenye ITV Mwenyekiti wa CUF Ibrahim Lipumba ni miongoni mwa Watanzania waliotunukiwa nishani ya kuhamasisha Amani.

My Take: Tunzo imekosha Heshima maana sioni tofauti ya Lipumba na Ustaadh Ilunga

Hii tuzo kapewa na mwenzake wa ndoa kwa kulipa fadhila ya kumwezesha mwanandoa mwenzake kuingia madarakani 2010. Mambo ya wanandoa waachie wanandoa wenyewe.
 
Ni kweli Mkuu. Kama ni kweli, unadhani ni kwanini inakuwa hivyo? Hebu tupe maoni yako.

Maoni yangu ni kwamba WAFANYE SIASA ZAO,WATUACHIE UISLAMU WETU,WAPO MIONGONI MWETU WAISLAM TUNAOINGIA KWENYE MKUMBO HUO BILA KUELEWA UHALISIA,NA HIYO NI KUTOKANA NA USHAWISH WA HAO WANASIASA UCHWARA...

HILI LIANGALIWE KWA PANDE ZOTE ZA IMANI,WAKIJA WATU KUSEMA HAKI ZAO ZA IMAN YAO WASIITWE WADINI,ILA WASIKILIZWE WANACHOKISEMA KINA MAANA AMA HAKINA MAANA KISHA NDIPO WAHUKUMIWE...
 
Nimeona kwenye ITV Mwenyekiti wa CUF Ibrahim Lipumba ni miongoni mwa Watanzania waliotunukiwa nishani ya kuhamasisha Amani.

My Take: Tunzo imekosha Heshima maana sioni tofauti ya Lipumba na Ustaadh Ilunga
Hakuna kitu kibaya kama kufilisika kisiasa. Halafu eti anaipeleka JWTZ mahakamani. Huu ni utani wa mchana kweupe. Kama anasema Waislamu wanakuwa-treated kama second class citizens na kuawachochea wadai haki yao ya kuwa raia wa Tanzania, ni amani inazungumziwa? Hili li nchi bana! Aah!

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Nimeona kwenye ITV Mwenyekiti wa CUF Ibrahim Lipumba ni miongoni mwa Watanzania waliotunukiwa nishani ya kuhamasisha Amani.

My Take: Tunzo imekosha Heshima maana sioni tofauti ya Lipumba na Ustaadh Ilunga

Mambo ya divide and rule!
 
That is our style in tz,we have already used to it..vice versa style lyk kamhanda n al other whom we know..when u go in bad way ur praised n given a higher rank bt if u stand 4 truth n fyt 4 peoples ryts u wl suffocate..congrats comrade lipumba hop those cuf members who were tortured in mtwara wl praise u for this award.
 
Nimeona kwenye ITV Mwenyekiti wa CUF Ibrahim Lipumba ni miongoni mwa Watanzania waliotunukiwa nishani ya kuhamasisha Amani.

My Take: Tunzo imekosha Heshima maana sioni tofauti ya Lipumba na Ustaadh Ilunga

Mkuu Albedo, Hiyo Tuzo nani amempa? ni JK ama ?
Kama ni JK, sitashangaa Coz huyo anaweza Kumpa Hiyo tuzo hata Mwigulu
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom