Lipumba ashindwa kuficha hisia

Lipumba ashindwa kuficha hisia

wana jf,

jana nilibahatika kuangalia taarifa ya habari itv na tbc pia. Moja ya habari ilivyorushwa hewani ilikuwa ikimuonesha prof. Lipumba, mwenyekiti wa cuf taifa, akiwasihi waislamu wenzake (nasisitiza hili kwa kuwa prof alitumia neno "nawasihi waislam wenzangu kutokufanya maandamano yoyote kesho (leo) baada ya swala ya ijumaa". Nilitafakari sana na kujiuliza mambo mengi, ni nani huyu profesa lipumba? Alizungumza kama mwenyekiti wa cuf taifa akiwasihi waislam wenzake wasifanye maandamao leo au alikuwa akizungumza "in his personal capacity as prof. Lipumba?". Naomba nipate ufafanuzi wa hili kwa kuwa utangulizi wa taarifa hiyo ulimzungumzia prof. Lipumba kama mwenyekiti wa cuf. Nitashangaa sana leo, kama kweli waislam wataacha kuandamana leo kwa kutii alichosema prof. Lipumba, kwa kufanya hivyo, kwa maoni yangu, "any reasonable person will come to the conclusion that cuf and islam in tanzania are inseparable"

i submit

cuf ndiyo waratibu wa vurugu zote nchini

Serekali ilikua ina haha. Haijui nini cha kufanya kuzuia maandamano. Maana waislamu hawamsikilizi hata Rais muislamu Kikwete tena. Sasa ili kuokoa jahazi, ilibidi raisi imuombe yoyote yule atakae weza kuokoa jahazi. Ndio maana hatuku andamana.
 
Hata Marando na profesa Safari nao pia waliongelea suala la sheikh ponda, vipi hawa hamwazungumzii?
 
Cuf ndo uislamu wenyewe.........
Hakuna la kushangaa hapa maana ilishasemwa muasisi na mlezi wa uamsho ni Maalim Seif. Na Lipumba ndiye Mlezi wa genge hilo kwa upande wa bara.
 
CDM ilipata kura nyingi kwenye uchaguzi uliopita kwa kuwa symptoms zake za udini na ukabila zilikuwa zimejificha.Hivi sasa kila mtu ameona ugonjwa wake labda wewe chizi unayevutiwa na helikopta

Ahadi hewa ya oic na mahakama ya kadhi kutoka ccm na ndoa yao ya mkeka cuf ndo imekubakisha huko sio
 
Mkuu, usishangae hizo choko2, fitna, majungu, hitlafu na mambo kama hayo ni mapenzi ya allah! sababu amesha yaweka hayo, ona alivyo wafundisha kwamba; "yeye angetaka mngekuwa kundi moja na mchungaji mmoja lakini hitlafu miongoni mwenu lazima ziwepo!" Na hadith inasema kutakuwa na makundi72 ndani ya uislamu na ni kundi moja tu litakalo nusurika! Kutaka Umoja ndani ya waislamu huoni kwamba unamuona yeye allah ni Muongo? JITAHIDI kuleta hitlafu ili upate barkaa!
Usipotoshe..
usipotoshe makundi ya madhehebu HAYO UNAYOSEMA YANAHUSU MAKUNDI MENGINE YANAYO PINGA UISLAM
WAISLAM WOTE WANA QURAAN MOJA,
hebu kwanza pitia biblia yako ilivo maneno ya mungu:
INCEST BETWEEN MOTHER AND SON:
(b) "While Jacob (Israel) was living in the land, Reuben (his
firstborn, his eldest son) had SEXUAL
INTERCOURSE with Bilhah, his father's concubine. "
GENESIS 35:22.



DAH haya angalia na hapo chini

"When Judah saw her (Tamar, his daughter-in-law), he thought
she was a prostitute, because she had covered her face.
"He went over to her at the side of the road and said, "ALL
RIGHT, HOW MUCH DO YOU CHARGE?" (He did not
know that she was his daughter-in-law)
"She said what will you give me?" (To have sex with me).
"He answered, I WILL SEND YOU A YOUNG GOAT
FROM MY FLOCK.
"She said, "All right, if you will give me something to keep as a
pledge until you send the goat.
". . . He gave them (the pledges) to her. Then had
INTERCOURSE, and she became pregnant." GENESIS 38:15-I8
na angalia hapa maneno ya mungu yanasemaje
"And Judas begat Phares and Zarah of Thamar . . ."
INCEST AND RAPE BETWEEN BROTHER AND SISTER:
(d) ". . . he took hold of her (Thamar, his sister, not to be confused
with Thamar in "c" above), and said unto her, Come lie with me
(have sex with me), my sister. 2 Samuel 13:11
"And she answered him, Nay, my brother (Amnon, one of the
sons of David, the man after God's own heart), do not force me .
. ." 2 Samuel 13:12
"But he would not listen to her; and since he was stronger
than she was, he overpowered her and RAPED her (his
sister)." 2 Samuel 13:14
haya hayawezi kuwa maneno ya muungu matusi matupu..
basi soma biblia uifahamu
 
tusonme biblia tuelimike

SLAVERY : Sanctioned by God -
"And ye, shall take them (the slaves) as an inheritance for your
children after you, to inherit them (the slaves) for a possession;
they shall be your BONDMEN (slaves) for ever . . ." LEVITICUS
25:46
hii ndio asili ya makaburu kuhalalisha ubaguzi na wazungu kuhalalisha utumwa kwani its ordained!!!!
 
Usipotoshe..usipotoshe makundi ya madhehebu HAYO UNAYOSEMA YANAHUSU MAKUNDI MENGINE YANAYO PINGA UISLAM WAISLAM WOTE WANA QURAAN MOJA, hebu kwanza pitia biblia yako ilivo maneno ya mungu: INCEST BETWEEN MOTHER AND SON: (b) "While Jacob (Israel) was living in the land, Reuben (his firstborn, his eldest son) had SEXUAL INTERCOURSE with Bilhah, his father's concubine. " GENESIS 35:22. DAH haya angalia na hapo chini "When Judah saw her (Tamar, his daughter-in-law), he thought she was a prostitute, because she had covered her face. "He went over to her at the side of the road and said, "ALL RIGHT, HOW MUCH DO YOU CHARGE?" (He did not know that she was his daughter-in-law) "She said what will you give me?" (To have sex with me). "He answered, I WILL SEND YOU A YOUNG GOAT FROM MY FLOCK. "She said, "All right, if you will give me something to keep as a pledge until you send the goat. ". . . He gave them (the pledges) to her. Then had INTERCOURSE, and she became pregnant." GENESIS 38:15-I8 na angalia hapa maneno ya mungu yanasemaje "And Judas begat Phares and Zarah of Thamar . . ." INCEST AND RAPE BETWEEN BROTHER AND SISTER: (d) ". . . he took hold of her (Thamar, his sister, not to be confused with Thamar in "c" above), and said unto her, Come lie with me (have sex with me), my sister. 2 Samuel 13:11 "And she answered him, Nay, my brother (Amnon, one of the sons of David, the man after God's own heart), do not force me . . ." 2 Samuel 13:12 "But he would not listen to her; and since he was stronger than she was, he overpowered her and RAPED her (his sister)." 2 Samuel 13:14 haya hayawezi kuwa maneno ya muungu matusi matupu..basi soma biblia uifahamu
Kama si hivyo na mna qurani moja na inawaelekeza kabisa kwamba; "mnapo hitlafiana rejeeni hukumu za qurani, hadith, ima miratul rasul!" quran kwa mwanadamu ni usiku wa giza wanaoielewa ni majini tu!Umebandika ayat za Biblia takatifu bila udhu! Mbona ungekuwa msomaji wa qaraa usingebandika hizo ayat! Ona qaraa inavyokujibu hapo; "Kila umati tumewajaalia kawaida yao ya IBADA na SHERIA ZAO!" Sasa toa ushahidi wa ayat ndani ya qaraa ima Biblia Takatifu kwa Umati wa Bwana Yesu walifundishwa hayo! Wee huoni lakini una macho!
 
Lipumba anawajibika kuwakataza kwa vile ndiye aliyewatuma kwanza.
 
mwanzilisha wa hii thread cna iman km ni muislam,utakua mgalatia na km n hvyo ctoshangaa ukirusha mawe upande wa pili.
 
Kama si hivyo na mna qurani moja na inawaelekeza kabisa kwamba; "mnapo hitlafiana rejeeni hukumu za qurani, hadith, ima miratul rasul!" quran kwa mwanadamu ni usiku wa giza wanaoielewa ni majini tu!Umebandika ayat za Biblia takatifu bila udhu! Mbona ungekuwa msomaji wa qaraa usingebandika hizo ayat! Ona qaraa inavyokujibu hapo; "Kila umati tumewajaalia kawaida yao ya IBADA na SHERIA ZAO!" Sasa toa ushahidi wa ayat ndani ya qaraa ima Biblia Takatifu kwa Umati wa Bwana Yesu walifundishwa hayo! Wee huoni lakini una macho!

its just quote and unquote....
na umati wa yesu umepita..haupo tena nyinyi ni wa paulo...mpotoshaji
 
Back
Top Bottom