CUF ndiyo waratibu wa vurugu zote nchini
Kwani kuna dhambi gani kwa yeye kutaka amani ? Je angeongea mchungaji Rwakatare? Nadhani yeye kama kiongozi wa kisiasa ana wajibu wa kuona miongoni mwa wanachama wake wanapata haki.
Kwanini iwe dhambi mtu kujionyesha kuwa yeye ni Muislam? Kwa sababu yeye mwanasiasa? Nadhani anatambua wajibu wake kwa jamii.
huyu mh.lipumba nilimuona alionekana hakuwa amejipanga kuzungumzia suala la maandamano ya waislamu ,ccm ,cuf wanawagawa waislamu kwa sababu zao wanazojua wenyewe kisiasa ,nani atawasihi waislamu wasiandamane ccm isingethubutu kutoa mtu wao wao ni waongozaji wakamtoa lipumba awatulize .huku cuf ikihusishwa na vurugu .hoja ya kadinali pengo ni msingi na ni ujumbe mzito kwa waislamu amesema waislamu msikubali kugawanywa kuweni kitu kimoja .Kwani kuna dhambi gani kwa yeye kutaka amani ? Je angeongea mchungaji Rwakatare? Nadhani yeye kama kiongozi wa kisiasa ana wajibu wa kuona miongoni mwa wanachama wake wanapata haki.
Kwanini iwe dhambi mtu kujionyesha kuwa yeye ni Muislam? Kwa sababu yeye mwanasiasa? Nadhani anatambua wajibu wake kwa jamii.
Wana JF,
Jana nilibahatika kuangalia taarifa ya habari ITV na TBC pia. Moja ya habari ilivyorushwa hewani ilikuwa ikimuonesha Prof. Lipumba, Mwenyekiti wa CUF Taifa, akiwasihi waislamu wenzake (Nasisitiza hili kwa kuwa Prof alitumia neno "Nawasihi Waislam wenzangu kutokufanya maandamano yoyote kesho (leo) baada ya swala ya Ijumaa". Nilitafakari sana na kujiuliza mambo mengi, ni nani huyu Profesa Lipumba? Alizungumza kama Mwenyekiti wa CUF Taifa akiwasihi waislam wenzake wasifanye maandamao leo au alikuwa akizungumza "in his personal capacity as Prof. Lipumba?". Naomba nipate ufafanuzi wa hili kwa kuwa utangulizi wa taarifa hiyo ulimzungumzia Prof. Lipumba kama mwenyekiti wa CUF. Nitashangaa sana leo, kama kweli waislam wataacha kuandamana leo kwa kutii alichosema Prof. Lipumba, kwa kufanya hivyo, kwa maoni yangu, "any reasonable person will come to the conclusion that CUF and Islam in Tanzania are inseparable"
I submit
Mwanasiasa yeyote aliyefilisika atatafuta uhalali wake kisiasa kwa kutumia udini..haya maneno aliyasema j.k Nyerere kwenye moja ya hotuba zake.
Bahati mbaya sana kundi la Ponda halina mpango na CUF, wao wanamuunga mkono muislam mwenzao Jakaya Kikwete na ndio maana katika matamko yao yote wanadai kundi la makafiri/wagalatia wanahujumu utawala wa muislamu mwenzao Kiwete!Ni kweli CUF Kina mrengo wa siasa kali za kiislam lakini Prof.Lipumba ameonyesha ukomavu wa kisiasa tofauti na wengne ambao wameachia suala la kutunza amani kwa serikali.Lipumba ni msomi na anajua umuhimu wa kutawala nchi yenye amani na utulivu.
Kazi ipo,kumbe swali ni juu ya nani anayeandamana...wahuni au waislamu? Mi nadhani Prof.Lipumba ameonya kwa kuendana na elimu yake.Wanaoandamana ni Waislamu ambao hawaridhishwa na baadhi ya masuala nchini.Hao viongozi wa kiislamu wanaodai waandamanaji ni wahuni,bila shaka wanatumika kisiasa kwa namna ambayo Prof.Lipumba hawezi kuwa
hapa tatizo sio mtu kuleta suruhisho tatito ni huyo mtu ambaye wanamhangaikia ni kwa nini awe yeye tu na si mwingine kunanini kimejificha hapa. sheria za nchi mtu akihatarisha usalaama anakamatwa na anafikishwa panapo stahili sasa huyu kwa nini ndugu zangu waislaam hamjalidhika.Mtu akiamua kutafuta suluhu ya jambo kwani lazima awe mwanzilishi wa hilo tatizo? mbona mnakuwa hamuwezi hata kufikiria,wakati mwalimu nyerere alipokuwa akitatafuta suluhu ya mambo mbalimbali je yeye ndo alikuwa source? kikwete alipokwenda kuongea na viongozi wa kenya kumaliza mgogoro what push him behind...Tunapenda kuona amani nchini kwetu sio migogoro mwenye uwezo wa kushawishi watu kutulia hana budi kutumiwa...!
Wana JF,
Jana nilibahatika kuangalia taarifa ya habari ITV na TBC pia. Moja ya habari ilivyorushwa hewani ilikuwa ikimuonesha Prof. Lipumba, Mwenyekiti wa CUF Taifa, akiwasihi waislamu wenzake (Nasisitiza hili kwa kuwa Prof alitumia neno "Nawasihi Waislam wenzangu kutokufanya maandamano yoyote kesho (leo) baada ya swala ya Ijumaa". Nilitafakari sana na kujiuliza mambo mengi, ni nani huyu Profesa Lipumba? Alizungumza kama Mwenyekiti wa CUF Taifa akiwasihi waislam wenzake wasifanye maandamao leo au alikuwa akizungumza "in his personal capacity as Prof. Lipumba?". Naomba nipate ufafanuzi wa hili kwa kuwa utangulizi wa taarifa hiyo ulimzungumzia Prof. Lipumba kama mwenyekiti wa CUF. Nitashangaa sana leo, kama kweli waislam wataacha kuandamana leo kwa kutii alichosema Prof. Lipumba, kwa kufanya hivyo, kwa maoni yangu, "any reasonable person will come to the conclusion that CUF and Islam in Tanzania are inseparable"
I submit
Hakika nyie wenye wa mawazo haya ni wale wa kuja ,wachoyo , akili ya necta na sunday schools,
Lipumba ni Mu islam na ni Mwana siasa, ana wajibu kwa dini yake na pia ana wajibu kama mwanasiasa mkomavu kushauri aidha waislam wenzake ama jamii kwa jumla chochote ambacho ataona hakina maslahi kwao ama kwa taifa , ni kiongozi anaejali
Lowasa , Sita , Pinda ,Mbowe,kila siku ya Jumapili wapo wanaimba kwaya na kutoa maagizo ya kisiasa katika majukwaa ya Dini..hawa ni sawa tena katika paltform za kanisa mbele ya waumini....hawa vyama vyao sio vya wakristo...ila kwa sababu kafanya Haruna Lipumba muislam basi nongwa
alichofanya Lipumba ni kutimiza jukumu lake kwa jamii, baada ya kuona kuna mgogoro kati ya polisi na waislam, polisi wanawakingia vifua wezi wa bakwata na wale wakosefu adabu wasio finzwa na mama zao wakawapeleka sunday school kupata kipa imara kumbe wanaenda kufundishwa uimara wa kukejeli dini na imani za wengine
anajua hasa ikiwa ngogoro unahusu wasialm ana jua nini nkitatokea , na ili shakusudiwa mabaya dhidi yetu nae kama kiongozi anawatahadharisha kuepusha shari na ubaya.
sasa kwa hichi kitendo chake cha kuwaambia wasiandamane basi anaonekana mbaya na mdini kwani waislam wengi wamemsikiliza na wale walio kusudia kufanya ubaya wameshindwa
Lipumba hongera wala usirudi nyuma wenzako wanaenda kuimba kwaya kila siku na kuomba kura 2015 hivyo usiogope na wewe kutumia same platform kufikia lengo lako kisiasa.
Unajua vitu vingine muwe mnaangalia kwa macho mawili tukisema ni PUMBA mnakasirika. hivi Rais mtarajiwa unaweza kweli kupambana na Kiongozi wa DINI km Sheik Simba anapodai hivi ni vikundi visivyojulikana ..... au waliochoma Makanisa sio hao waliokamatwa na RPC muislamu aliye CHINI YA mkuu wa MKOA muislam na pia IGP Said mwema?
sasa km waliochoma hata Jaji mkuu Othman Chande hajaingilia kati yeye LiPUMBA ataitishaje Serikali kwa kusema PONDA AACHIWE MARA MOJA https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/344826-ponda-aachiwe-mara-moja-lipumba.html
hilo Jeshi lilipoingia lilitaka kudhibiti nini km sio uchochezi wa CUF na PONDA?
Mona kashindwa kuwawekea Dhamana km alivyoahidi https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/347959-lipumba-cuf-itawawekea-dhamana-akina-ponda.html
mkuu una chekesha sana huyo shehe simba ndio anajulikana ? labda na serikali kwa manufaaa maalum lakini si na waislam.
kwa taarifa yako sio waislam wote wafuasi wa Ponda...lakini pia wengi sana karibu na wote hatutambui kuwepo BAKWATA na simba wanatambuliwa zaidi na mapadre..tukubali ukweli jamani hatuwataki hawana maslahi na sisi ...na hatuna nguvu ya kuwaondoa...tukijaribu ndio hivi kina nyinyi nyoote mnakua pamoja kuhakikisha waislam hawapati uongozi madhubuti
"mwanasiasa aliyefilisika kisiasa atatafuta uhalali kwenye udini" j.K Nyerere