Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 754
Lipumba imebidi akamtembelea mhanga mwenzie wa PoliCCM na kumuuliza "walikufanyia ile mambo mwenzio nilishtika mapema Sheikh!!"
Kawaida mgonjwa akiwa mahututi halafu ajapata nafuu ghafla huwa ni ishara ya kupewa fursa ya kuaga kabla hajadanja
Team UDINI hawatafurahia hii habari!
Mungu aendelee kumpa uponyaji,hatimae arudie afya yake.Pole Gwajima
Amalize haraka kuigiza ili akaendelee na mahojiano polisi.
ainuke tu aende zake pengo kisha tangaza msamaha!!!
Kwani Pengo anahusika kuwashinikiza polisi?
Ukipona wembe ni uleule hakuna kuwakopesha wasaliti,sijui nani kamdanganya Pinda kuwa eti atakuwa rais,labda mchagueni awe rais wenu wafipa lakini TZ never,bora tuongozwe na boga kuliko Pinda!
sina maana hiyo,maana yangu kwa kuwa ametangaza msamaha kesi itakuwa haina nguvu
Profesa Ibrahim Lipumba,mchana wa Leo tarehe 30/03/2015, amemtembelea Askofu Josephat Gwajima aliyelazwa TMJ Hospital.
Amefurahi kuona hali yake inazidi kuimarika na ameshatoka kwenye wodi ya wagonjwa mahututi,(ICU).
Amalize haraka kuigiza ili akaendelee na mahojiano polisi.
Nafikiri tokea mwanzo pengo kama yupo ni under cover hivyo naamini kabisa kuna mtu mkubwa wa serikalini ndo anapush haya mambo.Na ukifuatilia vzr gwajima hakuzimia kwasababu ya presha,kuna kitu polisi wamefanya ambacho tutajua ukweli wake soon.Mungu ibariki Tanzania.
Kumuona mgonjwa hakuna udini,wala ukabila weka wazi tuu kuwa wewe ndio haujafurahia,ila sio kuwausisha na wengine
#GreenCity