Lipumba Amtembelea Askofu Gwajima

Lipumba Amtembelea Askofu Gwajima

Kuna kila uwezekano huyo ni mfadhili wa UKAWA, jana Slaa leo Lipumba.

Bado Lowasa.

Mwaka wa uchaguzi huu tutaona na kusikia mengi sana.
 
Je! kuna kiongozi yupi wa kidini au mtumishi wa Mungu aliyemtembelea Askofu Gwajima mpaka sasa hospitalini ? Msaada wakuu !

Usijali imeandikwa kwenye vitabu vya dini hivi: Siku moja j2 asubuhi sana msafiri mmoja alivamiwa na wezi akaumizwa sana wakapita watu wa dini hawakumsaidia kwa kuogopa najisi ya damu kwa sababu alitapakaa damu ila aliokolewa na msamaria mwema tu. Kwa hiyo walioenda kumwona mgojwa ni wasamaria mungu awalinde na awazidishie busara.
 
Always serikali dhaifu na dhalimu kama hii ya ya ccm hutumia nguvu nyingi sana kwenye mambo yasiyo ya mhimu.
 
Back
Top Bottom