Van persie
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,099
- 720
Km sio Gwajima Kikwete asingekanusha mambo ya mahakama ya Kadhi. Safi Gwajima hata km utakufa au watakufunga utakuwa mkombozi wa Taifa hili. Bila wewe Kikwete asingelielezea vizuri Taifa kuhusu Kadhi. Safi Gwajima.