Lipumba alaani serikali kuzuia maandamano

mkuu....threads from these guys is a big scam...: please ignore...... the same syndicate of Geniusbrain, DSM, Malaria Sugu, mahesabu, topical.., charity boy, kishongo and the like...wapo wengi sana.... they have been hired by RA and Makamba...... and they have been equipped with new laptops.., zantel modems and chewing gums with mirungi... please ignore these idi..ots and hate preachers

Who is paying you Mbowe, Slaa and other ******
 
Ni wajibu wake kufanya hivyo, kwani anonyesha ukomavu wa kisiasa. Shida iko hapa CUF wameolewa na CMM hivyo hawako huru kiville.
 
Huyu TOPICAL ndio wale wale maana hata hajui nchi inakwenda vipi....
 
Wewe si mtanzania nina wasiwasi ni mzanzibar maana Lipumba mwenye CUF humwelewi BASI KALAGA BAHO

mkuu... i was of the same opinion...why..? CUF zanzibar walidhani CUF ndicho chama kitakachokua na upinzani TZ forever...but a blessing in disguise in what has happened in Zanzibar.. inter-party marriage btwn CUF and CCM which was folded by Maalim seif and Karume..... now topical and his martyrdom gang has been left with an adultery and jealous with CDM.......
 
Kazi ya vyama si kuandaa maandamano what a worst

Kazi ya vyama ni kuendesha siasa kwa hoja si kuandaa maandamano??
Pumba! unadhani akina mandela,nyerere na wengine wangetulia bila movement yoyote kungekuwa nna mageuzi?
Umesamehewa bure,hujui ulitendalo!
 
s:hat:a:hat:sa huyo minister wa home land security anataka kutupiga changa la macho ili iweje, Cuf tu ndio wake zao cdm no mpaka kieleweke.
 
Kazi ya vyama si kuandaa maandamano what a worst

Kazi ya vyama ni kuendesha siasa kwa hoja si kuandaa maandamano??

Inaonyesha una ufahamu wa juu ya wajibu wa vyama wanasiasa na majukumu ya kisiasa, kwamba wajibu wa vyama ni kuendesha siasa. "kuendesha" maana yake nini na wajibu huo wa kuendesha siasa unaishia wapi?

Hakika hatuhitaji kufikiri sana kukuelewa kuwa umelewa kilevi kinacholeta mgando wa fikra.
 
REV Masanilo amenunuliwa na CCM. Usipoteze muda wako mtukufu kujibu hoja zake za kipumbavu. Yupo kwenye masilahi yake. achana naye!
 
REV Masanilo amenunuliwa na CCM. Usipoteze muda wako mtukufu kujibu hoja zake za kipumbavu. Yupo kwenye masilahi yake. achana naye!

Rev Masanilo is an agent of CCM and its mafisadi. The days to hide the TRUTH have gone. What we need to get informed more is the MALICIOUS conduct of the sitting government of CCM which can into power by force. The end of sufferings from CCM is coming. God bless Josephine! God bless Dr.Slaa.Time will tell! We are ready for fighting to the end until truth is known.


Keep on dreaming sleeping baboon!
 
Una zidi kudhihirisha wewe ni mweupe kabisa up stairs

Umeandika kazi ya polisi ni kupiga wananchi - hii ni akili kweli

Umeongezea muda uliopita sasa eti wasiasa wasiandamane si kazi yao ooohh my footy una fikiria kama kiti moto asiye kwenye fugo.



Rev. Don't waste your time with chicky boy.
 
Nami nimemsikia Prof. Lipumba. Ame-condemn seriously kitendo cha serikali kutumia nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji wasiofanya fujo.
 
Tangu nimjue Lipumba-leo ndo kaongea point ya maana may be kuliko zote alzowai zungumza
 
Nilikuambia post moja huko nyuma wewe huna akili umejaa porojo! Maandamano ni sehemu ya siasa ...unaishi wapi?

Rev, huyu sio kwamba hana akili ni mzima kabisa yeye na wapuuzi wenzake wapo kazini, wana misheni zao za kuzima moto wa kimageuzi na kutetea mafisadi mitandaoni. Mpuuze yeye na wenzake dsm, Ms, na wengine wanao ongea upupu mara zote
 
Waliyotenda walambabuti Arusha si kwa CDM tu bali kwa Watanzania (ambao ni wengi) wasioridhishwa na ufisadi na ukatili wa CCM. Yaliyowakuta wenzetu wa Arusha yanaweza kuwakuta wengine wowote. Lipumba na watu wake Zanzibar walishaonja kisago cha cha polisi, kwa hivyo anaelewa anachokiongelea.
Kwa sasa ni jukumu la wapinzani wote kama jamii inayoonewa na CCM, bila kujali itikadi potofu za kisiasa,kuiwekea ngumu serikali na udhalimu wake. CCm isifikirie kuwa itaweza kuzima sauti za wanyonge kwa mtutu wa bunduki.
 
Back
Top Bottom