Lipumba alaani serikali kuzuia maandamano

Hahahahahahah I love this!

mkuu... hawa jamaa mtandao wao sasa umehamia Indonesia from Lebanon ... Lebanon sasa hawataki upuuzi wa ugaidi.... na huyu RA anakwenda sana Indonesia na anakiri mwenyewe.... hii ni dhahiri kuna recruits wa Kizanzibari Topical.., Charity Boy..., Kishongo..., Mtu Wa Pwani.., MS wanakutana nae huko kula tende pamoja... na kuwapa mirungi ili kuwa brain wash... hii group ya Al Jamaa Al Islamiya hatari sana ... ndio walio conspire jointly with other groups na kufanya assasination ya Anwar Sadat wa Egypt in 1981
 
Nimemuona kwenye ITV saa nne na nusu usiku, ametoa kauli nzuri sana na usoni alonesha kuimaanisha kabisa. ukizingatia kwamba chadema walifurahia cuf walipopigwa virungu na polisi kwenye maandamano yao ya Dar, his statement is both civilized and confusing
 
Nimemuona kwenye ITV saa nne na nusu usiku, ametoa kauli nzuri sana na usoni alonesha kuimaanisha kabisa. ukizingatia kwamba chadema walifurahia cuf walipopigwa virungu na polisi kwenye maandamano yao ya Dar, his statement is both civilized and confusing

Nani kasema CDM walifurahia CUF kupigwa? Walikufa watu wangapi kama kulikuwa na kipigo cha ukweli? Hii ya Arusha, ni mwendawazimu peke yake anayeweza kuinyamazia. Meya feki. Dhuluma. Vifo. So, Lipumba ametimiza wajibu wake kama kiongozi wa kisiasa maana angekaa kimya hata jumuiya ya kimataifa ingemshangaa na kumkatia misaada ya CUF. Tunasubiri kauli ya Maalim.....
 
Uuuuuuuuuuuuuuuuwiiiiiiiiiiiiiiiiii uwiiiiiiiiiiii uwi wi

Usimkatishe tamaa mapema. Mwenyekiti wake ndio huyo amelaani. Maalim yupo serikalini sasa, na lazima hiki kitu kinamkuna. Tujue sasa kama kuwa katika serikali ya mseto bado ataweza kusema kama chama cha upinzani ama la. C'mon waandishi wa habari...mtafuteni maalim....
 
mkuu... i was of the same opinion...why..? CUF zanzibar walidhani CUF ndicho chama kitakachokua na upinzani TZ forever...but a blessing in disguise in what has happened in Zanzibar.. inter-party marriage btwn CUF and CCM which was folded by Maalim seif and Karume..... now topical and his martyrdom gang has been left with an adultery and jealous with CDM.......

Hakuna marriage hapo hao wote ni watoto si riziki, ni ma- homo sexual,, ndio maana sisi tunawashughulikia sisi watoto wa kiumeni. Kama wangeona tungetarajia matunda mazuri ya watoto. Hao wote matasa akiri hakuna kichwani
 
Back
Top Bottom