Lipumba alaani serikali kuzuia maandamano

Gurudumu

JF-Expert Member
Feb 5, 2008
2,349
261
Amesema serikali inakiuka haki za binadamu kukandamiza uhuru wa wananchi kuandamana.

Source: VoA leo saa 1:30 usiku
 
Nimependa Lipumba alivyoongea, lugha yake tofauti sana na wana Ngangari tuliowazoea.
Kaonyesha kwamba penye masilahi ya watanzania tofauti za kisiasa zinawekwa kando.

Thanks Prof.
 
ni kweli lipumba, lakini si unashare utamu wa madaraka na ccm kama sikosei kupitia maridhiano ya zanziba! basi tumia ukaribu wako na wakuu wa ccm kuwamegea busara zako hizi ili arusha yetu irejee katika amani kama tulivyozoea
 
Kazi ya vyama si kuandaa maandamano what a worst

Kazi ya vyama ni kuendesha siasa kwa hoja si kuandaa maandamano??
 
Nilikuambia post moja huko nyuma wewe huna akili umejaa porojo! Maandamano ni sehemu ya siasa ...unaishi wapi?
 
Safi saana Prof Lipumba, wapinzani wengine waige mfano wako, walaani kabisa hili pamoja na wengine woote wapendao amani. Asasi za kiraia na woote wenye uwezo wa kulisemea hili na wafanye hivyo. Itakuwa fundisho kwa maCCM kutochezea haki za binadamu.
 
Nilikuambia post moja huko nyuma wewe huna akili umejaa porojo! Maandamano ni sehemu ya siasa ...unaishi wapi?

Nilikujibu kuwa wewe huna akili vilevile umejaa up.upu

Maandamano ni chaos kwa wakazi wa mji na raia wengine wasiopenda mambo ya siasa mfano wafanyabiashara nk..

Kazi ya chama ni kufanya mikutano ya hadhara ambayo ruhusa inatolewa kirahisi...

Mnapenda kuandamana kuonyesha upupu wenu kwamba mnaonewa?

Hamfahamu kuwa chaos zenu zinatuonea sisi tusio na muda na hizo siasa zenu?
 
Una zidi kudhihirisha wewe ni mweupe kabisa up stairs

Umeandika kazi ya polisi ni kupiga wananchi - hii ni akili kweli

Umeongezea muda uliopita sasa eti wasiasa wasiandamane si kazi yao ooohh my footy una fikiria kama kiti moto asiye kwenye fugo.
 
Maandamano siyo chaos ila chaos inaletwa na nguvu kubwa inayotumiwa na polisi kuyazuia. Hivi kuna tatizo gani watu kutembea toka point moja kwenda nyingine?
 
Nilikujibu kuwa wewe huna akili vilevile umejaa up.upu

Maandamano ni chaos kwa wakazi wa mji na raia wengine wasiopenda mambo ya siasa mfano wafanyabiashara nk..

Kazi ya chama ni kufanya mikutano ya hadhara ambayo ruhusa inatolewa kirahisi...

Mnapenda kuandamana kuonyesha upupu wenu kwamba mnaonewa?

Hamfahamu kuwa chaos zenu zinatuonea sisi tusio na muda na hizo siasa zenu?
mkuu....threads from these guys is a big scam...: please ignore...... the same syndicate of Geniusbrain, DSM, Malaria Sugu, mahesabu, topical.., charity boy, kishongo and the like...wapo wengi sana.... they have been hired by RA and Makamba...... and they have been equipped with new laptops.., zantel modems and chewing gums with mirungi... please ignore these idi..ots and hate preachers
 
Una zidi kudhihirisha wewe ni mweupe kabisa up stairs

Umeandika kazi ya polisi ni kupiga wananchi - hii ni akili kweli

Umeongezea muda uliopita sasa eti wasiasa wasiandamane si kazi yao ooohh my footy una fikiria kama kiti moto asiye kwenye fugo.

Sounds like crap
 
mkuu....threads from these guys is a big scam...: please ignore...... the same syndicate of Geniusbrain, DSM, Malaria Sugu, mahesabu, topical.., charity boy, kishongo and the like...wapo wengi sana.... they have been hired by RA and Makamba...... and they have been equipped with new laptops.., zantel modems and chewing gums with mirungi... please ignore these idi..ots and hate preachers

Most of them are brainless chicks!
 
Hamfahamu kuwa chaos zenu zinatuonea sisi tusio na muda na hizo siasa zenu?

Tropical hivi hujajua mpaka leo kuwa siasa inahusika na maisha yetu ya kila siku??
Leo hii tunategemea kampuni binafsi ya ndege kwa usafiri wa ndani kwa sababu siasa iliua ATC. Tunalipa nusu milioni to and fro Mza.

Msongamano wa magari Dar upo kwa vile siasa imezuia taaluma kufanya kazi yake.

Ukiuziwa nyama iliyooza buchani fahamu kuwa ni siasa imeua Tanesco ndio maana washa kata ipo JAn-Dec, linazalisha hela ya kulipa IPTL, Songas, Dowans and the like.

It is not about JK or your beloved CCM, its about our country unless wewe una uraia wa nchi nyingine.
 
Unapoteza muda mkuu huyo Topical ni brainless chick trying to cross the highway!
 
Kazi ya vyama si kuandaa maandamano what a worst

Kazi ya vyama ni kuendesha siasa kwa hoja si kuandaa maandamano??

Wewe si mtanzania nina wasiwasi ni mzanzibar maana Lipumba mwenye CUF humwelewi BASI KALAGA BAHO
 
Back
Top Bottom