Lips zake zimenichanganya

Chini ya kapeti.. huyo kijana ni Bulldog japo kuna wengine wanasema ni Excel.. bado nafuatilia ntaleta mrejesho.

Niko mahali na Hale Berry mkuu BAK... mzee na mvi zangu nafundishwa NGOLOLO!! Kasinde sasa kahamia kwa vijana sasa... wazee tumetupwa kule
 
Hahahahaha lol!!!! Halle Berry wa ukweli katika idara zote hawezi kusimama na Halle Berry wa Bongo....Kwa raha zako Mkuu katika kufundishwa namna ya kuicheza Ngololo.

sijaelezea tukio kwa tukio, foleni ilikuwa inaenda kwa viti na viti vilikuwa vya kuzunguka hivo kuna muda mnaonana haikuwa ya kusimama na kupeana visogo
uwe unaweka details za msingi ueleweke dada
 
Hahahaaaaa... nashukuru sana mkuu... ntakutumiapo liphoto lake ukompee.... Thubutu kukutwa!!!!
Nipo bhana natafakari RASIMU Mpya ya MACCM... hadi kichwa kinataka kuachia bendi.. hii nchi hii ndugu yangu... Ni zaidi ya sinema kinachoendelea sasa.
Hahahahaha lol!!!! Halle Berry wa ukweli katika idara zote hawezi kusimama na Halle Berry wa Bongo....Kwa raha zako Mkuu katika kufundishwa namna ya kuicheza Ngololo.
 
Umri ndo ilikuwa break yangu ungekuwa wewe mtu mzima mwenzangu ingekuwa poa sana
 
BAK na wewe uko kwenye huo mtandao wa kuhabarishana issue za watu under cover? Mmmhhh, salam kwa msuli. Tized umenikatia tamaa mara hii? Na wewe unaungana na yule anayesema bora kuwa na nguruwe umnywe supu kuliko mke kama Kasie??!! Kwelii... mie nilijua tutaendelea kuwa wote kwa shida na raha kumbe kwenye shida zangu unantosa, poa yote maisha.
Hahahaaaaa... nashukuru sana mkuu... ntakutumiapo liphoto lake ukompee.... Thubutu kukutwa!!!!
Nipo bhana natafakari RASIMU Mpya ya MACCM... hadi kichwa kinataka kuachia bendi.. hii nchi hii ndugu yangu... Ni zaidi ya sinema kinachoendelea sasa.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…