Lips zake zimenichanganya

un explainable, sijui mnywaji wa bia au wa sigara anaweza kukuelezea anapata raha gani akinywa bia au kuvuta sigara, may be atakwambia stim inapanda. To me is pleasure, I get pleasure na nakuwa satisfied na inaishia hapo. I love kissing kwa kweli

hahahaa, ei inaishia hapohapo..we mkali! warumi wa kale walikuwa na mtindo wao huo, mume anamwita maid anamchezea na kunyonya dushe wakati bibi yuko pembeni akitazama, mume akishakuwa tayari anakwenda kwa mkewe ambaye naye yuko tayari kwa kutazama tu kisha wanaendelea, kazi ya maid inakuwa imeishia hapo!
 

hahahaahaa kweli inaishia hapo
 
hahahaa, angalia lakini, wakati umening'inia kula denda mkono usije kugusa kwenye suruwali ukavutiwa zaidi na dushe!

Hahahahaahhaaa I wonta bana, am very keen looh, kwanza kwenye long kiss mikono inakuwa maeneo ya juu na si chini, na yeye akianza kupeleka mikono chini nasitisha zoezi looh
Kwanza mnakuwa mmebanana hata nafasi ya kupitisha mkono katikati haipo halafu huwa napenda kutembe na pochi zile zenye mkanda mrefu, hivo nitaiweka pochi katikati ya matukio korofi ili hata dushe yake ikisimama isiniguse maeneo yangu korofi hehehehee hivo itaishia hapo tuuu
 
Hujaona ya kwangu Kasinde. Takutumia kwenye PM.
 
Last edited by a moderator:
Kwa mtu kama stakubali iishie hapo.... watu wa pwan husema hallua haina makombo bwana... ukianza ila shart uimalize

hahahahaahhaa kwani weye ni wa pwani atii..............., aaah mie nikishatosheka na kiss yangu nachoropoka mwenzangu akaaa, utasikia mkojo umenibana naenda kukojoa nakuja sasa hv, ndukiiiii, sometimes nakuwa mtundu bin mkorofi bin shiiiidaaaarrrr
 
juicy lips....

yaaani lips zile acha kabisa, halafu anavoongea kwa upole sasa na anacheka kwa kujivuta ......... sijui anajua kuwa midomo yake mizuri na alijua kuwa namtazama, kwa kumuangalia alikuwa cool sijui hata ................
 

si umeona sasa wanawake mlivyo!! basi angekuomba namba ya simu hapo ungetoa fastaaa!!!
halafu mnasema wanaume wana matatizo kumbe nyinyi ndio mna matatizo!!!
aaaaaagggrrrrrrrr!!!!!!
 
pole sana, sasa jipange next time utapata ambae mnaendana umri na mwenye lips kama hizo
 
Dont judge all women for my view, a lot of women out there wako against my view, this is me, Kasie na sina tatizo lolote na mwanaume wala mwanamke. I live the way I want only that without breaking the law
si umeona sasa wanawake mlivyo!! basi angekuomba namba ya simu hapo ungetoa fastaaa!!!
halafu mnasema wanaume wana matatizo kumbe nyinyi ndio mna matatizo!!!
aaaaaagggrrrrrrrr!!!!!!
 

weeee, thubutuu...unafkiri pochi inasaidia kitu? hayo maeneo yana wireless communication, utashangaa tu hali inabadlika huko chini bibi anaanza kutoa jasho! lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…